Michezo Mingine Sio.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Panga.jpg

Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje?
 
View attachment 49498

Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje?

Aisee! Hii picha inanikumbusha enzi zileeeeeeee! Tulikuwa tunaishi Ilala Flats(miaka ya 70), kulikuwa na makundi kati yetu na watoto wa Ilala Mchikichini! Ilikuwa ubabe ubabe tu! Siku hizi mnaita Bifu kwa kwenda mbele!
 
hapo ujue kuwa baadae huyo dogo atakuja kuwa mwanasiasa na baadae kuwa Waziri katika Serikali yetu.
 
Duh! sijui hapa ni wapi ktk Afrika? Inaonesha ni nini kinachoendelea kunako jamii husika. Watoto kila cku wanaangalia picha za kutisha, kinachofuata ni kujaribu kuigiza. Noma sana.
 
Jamani hapo ni wapi? Naogopa kuamini kwamba haya yalitokea Tanzania!!!

Tiba
 
Wewe uite mchezo, lakini unaweza ukawa haukua mchezo wala masihakra. Watoto kama hawa walitumiwa na waasi kufanya ukatili mbaya kuliko maelezo kule Siera Leon.
 
Huu sio mchezo wa watoto watakua wameona watu wazima
...Ni michezo tu hakuna kingine hapo. Huoni huyo wa pili kutoka kulia ancheka.ingekuwa dogo kawapiga mkwara wa kweli hakuna ambaye angecheka....!! But it has message though!
 
Back
Top Bottom