The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Masa kule bana baada ya kuchangia ilibidi nikae kimya maana kuna mtu anaitwa Topical was getting into my nerves nikaona bora kukaa kimya maana BAN yangu nilikuwa naiona nje njeNilijua angepata BAN majibu yake ya jana yalikuwa makali. Ni kama alikuwa amevaa gloves. Nilikoswa sumbwi lake moja, kwa kuwa Rev ni mjanja wa kukwepa. Maisha yataendelea nadhani ile ID yake nyingine nimeiona sehemu ....yupo!