Michelle obsession.....

Dah, hii movie kumbe bado inaendelea......sikujua aisee!! Alafu commentators wote wanamfeva hashycool.......mwamuonea huruma kwa hizo poems alizoandika au?? Hongereni mediators naona michelle amelainika ila HC ndo bado anasua sua kufunguka! Ok, tuendelee.....
 
Ha ha ha haaaaaaa mkuu una lako jambo.... nalijua vizuri tu....!!

Hatuna undugu ila tunafahamiana na mi ndo nilimwalika JF

Nakubaliana nawe kuwa inapendeza kukaa pamoja na kupendana...!

Michelle!!

Mmmhh,,,,,,,,eti nina langu!!

Kwa nani jamani?
Unanichekesha!!
 
Yaani humwezi Hashy, anaweza kurudi baada ya mwaka na poem zake? sijui ni nini jamani kinamkimbiza kimbiza tu,hatulii...mnielewege!

This signifies ur love for him, somehow I can feel ni nini unawish by this time walau afunguke juu ya maswali yako! U can talk beyond the ink alafu mnarudi na uzi as a couple!! Lol
 
hahahahahahhahah lol
Hivi kumbe hii ndivyo ilivyo nilikuwa sina habari hiyo .....
honestly you do,mwenyewe ndo ulishauri holiday,ulipoambiwa kuwa ka vipi na TF awa join,lol wacha uruke kimanga,moyoni nikajisemea 'si bure kuna jambo hapa'.
 
Nikwambie kitu Michelle?Going by what i am reading here huyo bwanako Hashy ana play mind games na bongo yako.You don't just post poems na kudisappear unamwacha mkeo anahangaika nazo(unless of course jana na juzi mmekutana chemba mkayamaliza kimya kimya).
ushauri wa bure:Just cool off
 
Dah, hii movie kumbe bado inaendelea......sikujua aisee!! Alafu commentators wote wanamfeva hashycool.......mwamuonea huruma kwa hizo poems alizoandika au?? Hongereni mediators naona michelle amelainika ila HC ndo bado anasua sua kufunguka! Ok, tuendelee.....

Asante kwa kuona jinsi watu wanavyompendelea mtenda kosa,mi niliyetendewa wala sionewi huruma....sijalainika wala,inabidi niwe hivi ili nipate ukweli kutoka kwa Hashy...lol
 
Nikwambie kitu Michelle?Going by what i am reading here huyo bwanako Hashy ana play mind games na bongo yako.You don't just post poems na kudisappear unamwacha mkeo anahangaika nazo(unless of course jana na juzi mmekutana chemba mkayamaliza kimya kimya).
ushauri wa bure:Just cool off

Hatunaga kimya kimya sisi Bishanga, huyo ndo Hashy mzee wa mind games...ushangae wanaomtetea na kumuhurumia....ngoja nitunze kidumu changu mimi....sitaki stress na uzee mapema hii.....!
 
my very dearest michelle i do love you with all my heart and soul! seing you shutting me out... its killing me! pls this time i promise you i will stay.. am saying these on a bended knee!
 
hashycool......

you keep playing with your luck....everytime

dont blame me next time.....
 
And, I love you more....welcome back Hashy.....missed you!!

0037.gif

you have all my blessings

0124.gif

Similar Discussions

Back
Top Bottom