Michelle obsession.....

Nilikuwa naye huku muda umepita kidogo
kakusubiri wee huonekani
nikamPM kumruhusu akalale.

Kaweka thread yake hapa akaenda kulala,utamweza shemeji yako huyu?? Full mitihani yaani...ngachoka kabisa...lol!!
 
Nilikuwa naye huku muda umepita kidogo
kakusubiri wee huonekani
nikamPM kumruhusu akalale.

Kongosho una mambo ya ajabu sana...

Unajua nilikuwa kwa Lizzy, umekaa huku na shemeji yako, ukamruhusu akalale, wa kwako huyo??

We wa kwako akitumiwa tu salamu, unaanza vituko...muone kwanza...!!
 
Jifanyie mwenyewe. NAjus huto juta. Huyu mwanaume ameonesha kua anamaanisha. Si unaona leo hakutungia chit chat?

Nijifanyieje mwenyewe, sometimes unawasikiliza wale unaoamini wanakutakia mema, pengine sioni vizuri...naogopa asije rudia tena!
 
we Hashy,acha kutuchezea bana,jana mambo ylikwenda muswano we na beau wako,sasa hii maneno gani unaleta hapa?
 
Hii thread nilikuwa sijaiona jamani!

Hashy i thought you were gone for good....

Am ready to give you a second chance, do me one favor....

Tell me why you went away..... and what were you doing??

Only that, and we delete this thread....lol

Nimeanza kupumua....
 
ha ha ha
salamu ruksa kutuma
ila kupitia redioni sio hapa

Kongosho una mambo ya ajabu sana...

Unajua nilikuwa kwa Lizzy, umekaa huku na shemeji yako, ukamruhusu akalale, wa kwako huyo??

We wa kwako akitumiwa tu salamu, unaanza vituko...muone kwanza...!!
 
we nae umekuwa mwanga lini tena?

Tutakutenga na kukufukuza mtaa wa jf kama Okonkwo wa 'Things Fall Apart'

we Hashy,acha kutuchezea bana,jana mambo ylikwenda muswano we na beau wako,sasa hii maneno gani unalets ha?
 
Kaweka thread yake hapa akaenda kulala,utamweza shemeji yako huyu?? Full mitihani yaani...ngachoka kabisa...lol!!

Ina maana we na Mamzalendo ni mtu na mdogo wake?

Nauliza hivyo kwa sababu ya majibu yenu humu jamvini na ni kitambo sana tu nilikuwa nikilinganisha majibu yenu!

Inapendeza sana Ndg kukaa pamoja na KUPENDANA!
 
Nijifanyieje mwenyewe, sometimes unawasikiliza wale unaoamini wanakutakia mema, pengine sioni vizuri...naogopa asije rudia tena!
Huwezi kujua kama atarudia, unless ukubali kujaribu... take the risk!
 
Ina maana we na Mamzalendo ni mtu na mdogo wake?

Nauliza hivyo kwa sababu ya majibu yenu humu jamvini na ni kitambo sana tu nilikuwa nikilinganisha majibu yenu!

Inapendeza sana Ndg kukaa pamoja na KUPENDANA!

Ha ha ha haaaaaaa mkuu una lako jambo.... nalijua vizuri tu....!!

Hatuna undugu ila tunafahamiana na mi ndo nilimwalika JF

Nakubaliana nawe kuwa inapendeza kukaa pamoja na kupendana...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom