Michango ya Kimawazo Aliyowahikutoa Marehemu Regia Mtema katika Mijadala ya Jamiiforums

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
940
308
Ndugu zangu wanaJF,

Nawapa pole wote walioguswa na msiba mkubwa wa mpiganaji mwenzetu marehemu Dada Regia Mtema.

Kwa heshima, nimeona ni vema nianzishe uzi mahsusi utakaojumuisha michango ya kimawazo ya Dada yetu kipenzi Marehemu Regia Mtema aliyotoa humu Jamiiforums katika mijadala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi. Wenye data tafadhali karibuni sana.
 
Back
Top Bottom