Miaka mitatu ya JamiiForums

My sincere congratulations to JF Founders and the crews for a well done job. Your commitment and dedication made this forum live and enjoyable. To members, you contributions in many ways made it possible for its survival and now we are celebrating its 3rd bithday. Happy Birthday JF.
 
hongereni sana wakuu kwa kazi nzuri muifanyayo kutuwezesha sisi kutoa maoni yetu buuuuuuuuuuure bila gharama yeyote, AHSANTENI SANA
 
Una maoni juu ya nini kifanyike zaidi?

Yatakayofanyika kuanzia September:

  1. Kuanzisha Live Support Crew ambayo itakuwepo 24hrs ili kumsaidia yeyote mwenye uhitaji wa msaada wa haraka ndani ya JF
  2. Kuajiri moderators maalum watakaokuwa online 24hrs kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
  3. Kushirikiana na asasi mbalimbali zisizo za kiserikali na za kiserikali katika masuala yote muhimu katika ujenzi wa Taifa
  4. Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumi
  5. Kufuatilia kwa karibu kabisa habari zote zinazohusiana na Uchaguzi 2010 na 2015 ikiwa ni kwa maandishi na picha.
  6. Kutoa huduma ya "Hosting" kwa Tshs 15,000/= kwa mwezi kwa wote wenye kuhitaji huduma ya web hosting
  7. Kuanzisha gazeti huru la JF... Jina kapuni
Mengine tutafahamishana mbeleni

kuongeza majukwaa kama jukwaa la ufisadi. Post zote zilizo na tetesi za ufisadi ziwekwe humo kwa ajili ya referencing. Tunapoteza nyingi sana ndani ya jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom