Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
- Kutoka JamboForums (August 2006) kwenda JamiiForums (April 200.
- Inapata hits zaidi ya 30mil kwa mwezi (August zimefikia 42mil)
- Imekuwa ranked kama site inayotembelewa zaidi na Graduates na Quantcast
- Asilimia 67.2 ya wanaoitembelea kwa sasa ni kutoka Tanzania
- Ina ofisi zake Jijini Dar ambazo zitazinduliwa rasmi mwezi huu (Septemba)
- Ipo chini ya Jamii Media Inc (iliyosajiliwa Tanzania kama kampuni mwaka 200
- Haijajitangaza, inajulikana kwa wengi kwa 'word of mouth'
- Imekuwa listed katika World Big Boards mwaka 2008
- Kwa wastani mtu hukaa muda wa dakika 16.1 kwa siku ndani ya JF
- Ina radio yake (Jambo Radio) tangu 2003 yenye International License
- Wafadhili wake ni wanachama wake na watanzania wachache wanaojitolea japo hawajajisajili bali wanasoma tu.
Yatakayofanyika kuanzia September:
- Kuanzisha Live Support Crew ambayo itakuwepo 24hrs ili kumsaidia yeyote mwenye uhitaji wa msaada wa haraka ndani ya JF
- Kuajiri moderators maalum watakaokuwa online 24hrs kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
- Kushirikiana na asasi mbalimbali zisizo za kiserikali na za kiserikali katika masuala yote muhimu katika ujenzi wa Taifa
- Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumi
- Kufuatilia kwa karibu kabisa habari zote zinazohusiana na Uchaguzi 2010 na 2015 ikiwa ni kwa maandishi na picha.
- Kutoa huduma ya "Hosting" kwa Tshs 15,000/= kwa mwezi kwa wote wenye kuhitaji huduma ya web hosting
- Kuanzisha gazeti huru la JF... Jina kapuni