Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,237
- 12,751
Zamani kabla ya kubadilishwa kwa sheria wanafunzi walikuwa wanaanza shule wakiwa na miaka 5 kama ilivyo sehemu nyingi duniani. Lakini Nyerere mjamaa alikuwa anahitaji sana wafanyakazi.
Akaona wanafunzi wanaoanza shule na miaka mitano wanamaliza darasa la saba wakiwa wadogo sana kuweza kuwapigisha kazi. Na hata wakiwa shuleni kwenyewe hawawezi kupiga kazi za maana. Akaonelea ni bora kuongeza miaka ya kuanza shule, ili wanafunzi waweze kupiga kazi na mara tu wanapotoka shuleni wawe na uwezo wa kupiga kazi.
Miaka hiyo haikupangwa kwa kuangalia kukomaa kwa ubongo bali kukomaa kimwili. Nyerere ameandika hayo ndani ya kitabu Elimu ya Kujitegemea.