stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,104
Jamani wanajamii mimi naona muda unaisha na watu wanaanza kuzeeka juzi juzi tu tulikuwa na mzee wa ruksa Mh Mwinyi tukaja tukawa na Mh. Mkapa akamaliza miaka kumi yake leo tuko na Kikwete ambaye nadhan anatupeleka shimoni! Je wewe kuna mabadiliko yoyote uliyoyafanya ndani ya miaka yote hii 27.