miaka inakwenda!!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Jamani wanajamii mimi naona muda unaisha na watu wanaanza kuzeeka juzi juzi tu tulikuwa na mzee wa ruksa Mh Mwinyi tukaja tukawa na Mh. Mkapa akamaliza miaka kumi yake leo tuko na Kikwete ambaye nadhan anatupeleka shimoni! Je wewe kuna mabadiliko yoyote uliyoyafanya ndani ya miaka yote hii 27.
 
For JK it's just the begining, there's so much more to come!
lakini hii thread mbona kama ya Jukwaa la Siasa vile?
 
For JK it's just the begining, there's so much more to come!
lakini hii thread mbona kama ya Jukwaa la Siasa vile?

naongelea wakati sio siasa usininukuu na kunielewa vibaya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom