Miaka 50 ya uhuru:tuwatambue mashujaa wa taifa letu

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,362
1,131
Kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Taifa letu.

Tuwaenzi na kuwapa heshima za dhati Viongozi mashujaa wa Taifa letu.

Tuwataje kwa MAJINA na kwa MICHANGO yao mbalimbali, mashujaa wa Taifa la Tanzania Kabla ya Kuupata Uhuru,
wakati wa harakati za uhuru, Baada tu ya uhuru hadi sasa kufikia miaka 50 ya Uhuru wa Taifa letu.

Na pale inapowezekena tutoe Mfano wa kiongozi kama huyo wa enzi hizo kumfananisha na kiongozi wa sasa.

Mungu Ibariki Tanzania kwa Kufikisha Miaka 50 ya Uhuru wake.




1. Chifu Mkwawa kwa ujasiri wa kusimamia kile anachokiamini . Hakuna kiongozi yeyote anayeweza kufananishwa naye kwa sasa... labada hata siku zijazo.

2. ....
 
Tanzania_mothers_459847artw.jpg


Michangao yao 'Wanatulea na ndio chanzo cha generation yetu Tanzania'

Bila wanawake hakuna Tanzania leo. Hakuna zaidi ya hawa wanawake Tanzania.
 
Back
Top Bottom