First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
kuingia gheto anaingia kiwiziwizi
sababu anaona aibu
hata kiss la shavu njenje hataki
nikimshika mkono mbele ya watu anakasirika
nikimlazimisha anasema mi staki bhana
nikimtambulisha kwa marafiki anajibu aaa wapi!
akiulizwa mi nani wake anasema rafiki, ndugu, binamu nk
nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo anajibu mda bado wa kuwa wawazi kiasi hicho
mhhhhhhh!!!!!!!
hayajanitokea bhana ila huwa yapo huenda hata kwako ilishawahi kukutokea!!
Imekula kwako baaaab!!!!
FBorn