First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
- Thread starter
- #41
<br />co hivyo mkuu hapa duniana ukitaka kushangaa kila kitu hutashangaa vingi maana mabo ya giza ni mengi na hayaishi, <br />
kila siku mtu anakuja na jambo lake jipya, inabid kuyazoea tu na kusema ya kawaida hayo
<br />
sasa maswaga ka demu anatabia ya kukuonea aibu mbele ya watu utaendelea kuizoea hiyo hali uione ya kawaida?