Mi naogopa mende

Mi washawasha, yaan hata nikimuona mwan JF mmoja humu ndani mwili unasisimka asee..!
 
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.
vipi popobawa huogopi??????????????????????????????????
 
mbona jamani mimi siyo muoga wa kitu chochote kile? tena am so daring kiasi kwmba naweza hata kurescue mtu kwenye hatari I can.

bado tu hujagundua pointi yako ya weakness, jaribu kujichunguza.
Lazima kuna kitu ama situation flani ambayo unaiogopa ingawa defence mechanism nayo inahusu.
 
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.

Miaka ya nyuma nilikuwa nikimuona wakati nakula natapika......hata sasa sipendi kumsikia..nyoka hakuna mwenye ujanja hapo.....
 
Mi nimekuja kasi hapa nilipoona Mende , nikajua ni Mende-Mukaka ! Kumbe vimende unamaana ya vimende hivi vya toilet !
Nitarejea.
 
Me naogopa nyoka aisee!!

Senetor, hapo umenigusa aisee. Me naogopa nyoka vibaya sana. Siku 1 nyoka aliingia nyumbani mwangu. Mtoto aliponiambia "kuna nyoka ndani", aisee nilichanganyikiwa. Sasa fikiria me ndo mkuu wa familia, natakiwa kuwa jasiri. I swallowed my pride. Niliomba msaada kwa h.girl (sina h.boy). Tulimsaka hadi tulimpata na tukafanikiwa kumuua, lakini mchango wangu kwenye shughuli nzima ilikuwa km 30% tu. Nikikumbuka nacheka peke yangu. Kilichofuata baada ya kuua nyoka ni kung'oa maua yote pembezoni mwa nyumba, maana yalikuwa yameshonana sana. Kwakweli nyoka sitaki hata kumwona.
 
mimi namuogopa wasira

Lol....kuna watu mmepinda!! Mimi naogopa mende na praying mantis mpaka natia aibu sanaaaa kwa watoto wangu lakini sina jinsi yani wananicheka tu,nikienda sehemu nikiwaona tu amani yote inaisha kabisa nakosa raha nataka kuondoka tu. Mende akiwa anaruka lazma niombe tu msaada wa mtu kumuua, huyo praying mantis yy akiwa hata mlangoni sipitii kwa kutembea labda nikimbie yani nitoke mkuku! Siku moja nusu nigongwe na gari pale namanga yani madereva tax wa pale walibaki wanacheka na kunionaea huruma. Kuna duka moja pale wakiniona tu wanasema bado unaogopa wadudu(aibuuuu) ndo maana sipendi mvua kabisa.

SIPENDI WADUDU WOTE HASA WANAORUKA!!!! naweza kutoa kilio bila kupigwa looh.
 
mende mdudu mende gari au mende mwanadamu? Nakushauri muogope mende mwanadamu mpende mende mdudu ingawa wote wacheza na kinyesi.
 
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.

Dawa yako ndogo sana.
Unahitaji Mende therapy session!
 
Back
Top Bottom