Mi naogopa mende

PROF. ENG

Senior Member
Nov 15, 2011
122
34
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.
 
yani unawaogopa alafu umewachunguza hadi kujua kwa chini wanafanana na samaki (au umewaona kwenye picha au dissection).

Anyway mende ni wadudu wachafu sana, kama wapo hope jaribu kuwatafutia dawa
 
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.

Una jini la kike linaitwa MENDELINE asili yake Medina na hurka yake ni kukuchafulia haiba yako kwa wastaarabu wote. Epuka kulala chali, aina yoyote ya tumbaku na usitumie katu choo cha shimo na.........

Kwa taarifa zaidi ni-PM.
 
Una jin ila kike linaitwa MENDELINE asili yake Medina na hurka yake ni kukuchafulia haiba yako kwa wastaarabu wote. Epuka kulala chali, aina yoyote ya tumbaku na usitumie katu choo cha shimo na.........

Kwa taarifa zaidi ni-PM.
nadhani wewe ndio unatisha zaidi ya hao mende..., tuache kutishana jamani, na kuibiana kimacho macho (jamani sisi sote ni watanzania, atleast si uwadanganye wakenya au waganda na sio mwananchi mwenzako.

Nadhani wewe una jini la kupiga sound
 
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.
Pole sana, ungesoma PCB F.6 LAZIMA UFANYE DISSECTION YA MENDE SS SIJUIWW INGEKUWAJE
 
Hiyo ni form ya abnormal personality iliyoko kwenye neurosis inayoitwa Phoebia.
Phoebia ni uoga ambao uko katika vitu ama hali ambayo katika hali halisi haiwezi kukudhuru.
Wanasaikolojia wanadai kila mtu ana kitu ama hali ambayo ana Phobia nayo. Hawa wanaokuzodoa ukiwafuatilia utakuta kila mmoja ana kitu anachokiogopa. Wengine huogopa wadudu kama wewe, wengine giza, wengine makaburi, wengine binadamu wenzao nk.
Pole sana mkuu lakini hebu jiulize, hivi mende anweza kukudhuruje? Kama hawezi kwa nini umuogope?
 
Sasa kuna mtu wangu mmoja anaogopa panya vibaya. Bahati mbaya siku moja vyoo vyetu vya uswahilini panya sijui wanaingiaje kwenye tundu la choo, basi jamaa wakati anakata gogo panya alikuwa kwenye tundu anasubiria kulidaka jamaa akashtuka kuna kitu kinakwaruzakwaruza kuchungulia kuona ni panya alipiga kelele na kuamka kabla gogo halijakatika vizuri na kuangukia kwenye bukta.

Mi panya siogopi kabisa, ila Mende!!!, wale wanaoruka nasikia wanakuwa wanakaribia kutaga.
 
Hiyo ni form ya abnormal personality iliyoko kwenye neurosis inayoitwa Phoebia.
Phoebia ni uoga ambao uko katika vitu ama hali ambayo katika hali halisi haiwezi kukudhuru.
Wanasaikolojia wanadai kila mtu ana kitu ama hali ambayo ana Phobia nayo. Hawa wanaokuzodoa ukiwafuatilia utakuta kila mmoja ana kitu anachokiogopa. Wengine huogopa wadudu kama wewe, wengine giza, wengine makaburi, wengine binadamu wenzao nk.
Pole sana mkuu lakini hebu jiulize, hivi mende anweza kukudhuruje? Kama hawezi kwa nini umuogope?

Kwa kauli yako hii NAFUTA RASMI HOJA YANGU YA MWANZO aka jini MANDELINE. In fact nilisema kwa utani zaidi na nikazama kwenye rejea kuJikumbusha TYPES OF PHOBOS (PHOEBIA). Narudi nikakuta Chilli has said almost all. Phoebia ni kitu ( situation) ya kawaida na wote in a way we have some kind of it. So nothing to worry much and IT HAS NOTHING TO DO WITH SUPERSTITION.

SUN WU UMENISOMA?
 
hiyo kitaalamu inaitwa"phobia"kila m2 ana kitu anachokiogopa,phobia maana yake ni "irational fear"dada yangu anaogopa kifaranga cha kuku hata kama kimetotolewa leo,m2 mwingine hata maji anaogopa(hydrophobia),mwingine anaogopa giza,mwingine miti mirefu,kutatua tatizo hili unahitaji kufanya"extinction"mazoezi ya kuanza kuwa karibu na ki2 unachokiogopa,kama kukigusa nk,mradi kisiwe na madhara,hapo utafanikiwa kuondoa huo uoga wako
 
Una jini la kike linaitwa MENDELINE asili yake Medina na hurka yake ni kukuchafulia haiba yako kwa wastaarabu wote. Epuka kulala chali, aina yoyote ya tumbaku na usitumie katu choo cha shimo na.........

Kwa taarifa zaidi ni-PM.

kwikwiwiwiwiwiwiwiwiwi
kwwiikwiwiwiwiwwww
kazi kwelikweli
 
ningependa kujua mwanzisha mada ni she au he?
naweza kujua kwa nini anaogopa mende.
 
Back
Top Bottom