Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,142
- 4,231
Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.
Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.