St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,639
- 4,526
mmmhhh acha hivyo bwana huyo twiga akienda mbele kidogo atamvunja
Hawezi kumvunja maana lipunda linabeba mizigo mizito kuzidi uzito wa huyo twiga.
mmmhhh acha hivyo bwana huyo twiga akienda mbele kidogo atamvunja
Nipo laaziz majukumu kidogo yalinishika.
Hawezi kumvunja maana lipunda linabeba mizigo mizito kuzidi uzito wa huyo twiga.
Ukipenda unaweza kugonga haoa chini.
mmmmmhhhh kwakweli hata nilikuwa siingalii kilichonipeleka hapo...
kuna hatari mimi sijajua kama punda na farasi wanaweza ku.........lol
nchi gani hii jamani??
mmmmmhhhh kwakweli hata nilikuwa siingalii kilichonipeleka hapo...
kuna hatari mimi sijajua kama punda na farasi wanaweza ku.........lol
nchi gani hii jamani??
oh my god please naomba udelete hiyo link uliyoniquote hapo juu wasiione wengine ikawa tabu humu ndani maana nilitaka nikuoneshe wewe tu.
usijali nimesha iondoa...
asante lakini..