kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
Jamani naombeni huyu mkubwa wa Jiji hili atuambie amefikia wapi na hawa mafisadi wa ardhi wilaya ya kinondoni? mbona kimya tena? pia ajaribu kuangalia na wilaya za TMK na Ilala nako kuna uozo pia
hii ndo bongo. hiyo issue imeishia hapo kwa sasa tuko busy na uchaguzi. mambo mengine yanasimama kwanza aiseee. bongoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo