Elections 2010 Mheshimiwa william lukuvi vipi mbona kimya?

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Jamani naombeni huyu mkubwa wa Jiji hili atuambie amefikia wapi na hawa mafisadi wa ardhi wilaya ya kinondoni? mbona kimya tena? pia ajaribu kuangalia na wilaya za TMK na Ilala nako kuna uozo pia
 
Siyo jipya Tanzania agenda imefungwa labda kama kuna mengineyo kwa idhini ya mwenyekiti.
 
hii ndo bongo. hiyo issue imeishia hapo kwa sasa tuko busy na uchaguzi. mambo mengine yanasimama kwanza aiseee. bongoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Yuko bize anasaka kura arudi mjengoni kula....... Kwan nini bana? Wabongo ni watu rahisi sana kuridhishwa na usanii.
 
Back
Top Bottom