Mheshimiwa Rais Magufuli, kwa heshima kubwa ya Kiurafiki katuwakilishe mazishini Havana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,824
109,518
Kwanza nianze kwa kuwapeni wale ' Wanamapinduzi ' wenzangu wote kwa ' Msiba ' mkubwa sana uliotokea muda si mrefu wa ' kuondokewa ' na Rafiki yetu mkubwa sana Tanzania aliyekuwa Rais wa Cuba Fidel Castro.

Hakuna asiyejua kuwa urafiki wetu Tanzania na Cuba ni wa ' Kihistoria ' kabisa hasa ukizingatia kuwa ' uliratibiwa ' vizuri mno na Kiongozi huyo wa Kihistoria wa Cuba na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na hizi nchi mbili zimefaidika mno kwa ushirikiano wa Kisiasa, Kilimo, Biashara bila kusahau Kiulinzi na Kiusalama.

Ndipo kwa Heshima na taadhima kabisa huku nikijua kuwa Mheshimiwa Rais wetu ana ratiba ngumu kabisa na majukumu mengi ya kututumikia sisi Watanzania na mara nyingi amekuwa akituma wawakilishi wako katika mambo kadhaa huko nje ya nchi hasa Makamu wake Mama yetu Samia Suluhu na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim ila kwa huu ' msiba ' mzito na mkubwa wa Kidunia tunamwomba sana Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ' akatuwakilishe ' moja kwa moja Watanzania na ' tutafarijika ' sana.

Naomba ' uzi ' huu usieleweke vibaya labda kama nataka kumpangia Rais nini cha kufanya kwani kiukweli hata uwezo huo sina ila ' nimeguswa ' na huu ' msiba ' mzito kabisa kutokana na Historia zetu hizi nchi mbili na Urafiki wetu wa shida na raha na Watu wa Cuba.

Poleni sana Watanzania mlioguswa kama Mimi na huu ' msiba ' na pia pole zao kubwa Wananchi wa Cuba kwa kuondokewa na Revolutionary Icon na True Hero Mzee Fidel Castro na ama hakika ametuachia kumbukumbu na legacies nyingi mno sisi Wanamapinduzi ambayo bila shaka inabidi sasa tupite mule mule ambapo ' Marehemu ' alipita.

Nitoe pia pole zangu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) kwani najua kuwa tulikuwa na ' ushirikiano ' mkubwa na mzuri mno na Watu wa Cuba hasa ukizingatia kuwa ' Marehemu ' alilipenda na kuliheshimu mno Jeshi letu la Tanzania na hakuna ubishi kuwa asilimia fulani za ' uzuri ' na ' ufanisi ' wa ' kiutendaji ' wa Jeshi letu pendwa na zuri la JWTZ pia zilichangiwa na Millitary Philosophies za Mzee Fidel Castro.

Nimtakie tu maziko mema Mzee Castro na may his soul rest in peace. Jembe la ukweli na la Kimapinduzi limeondoka na ' ubora ' na ' utamu ' wake.
 
Huyu mtu mazishi yake ni Jumamosi ipi? Si leo?

Sina ' uhakika ' ila nadhani kutokana na ' umuhimu ' wake na Heshima kubwa aliyojijengea ' duniani ' sidhani kama watawahi ' kumzika ' kwani nina uhakika Viongozi wengi na Watu wengi tu ' maarufu ' watapenda kuhudhuria na kumsindikiza katika safari yake ya mwisho Mzee na Comrade wetu Fidel Castro.
 
Wameshatangaza cremation wakisema ni Jumamosi, nadhani ni next week
 
Kwanza nianze kwa kuwapeni wale ' Wanamapinduzi ' wenzangu wote kwa ' Msiba ' mkubwa sana uliotokea muda si mrefu wa ' kuondokewa ' na Rafiki yetu mkubwa sana Tanzania aliyekuwa Rais wa Cuba Fidel Castro.

Hakuna asiyejua kuwa urafiki wetu Tanzania na Cuba ni wa ' Kihistoria ' kabisa hasa ukizingatia kuwa ' uliratibiwa ' vizuri mno na Kiongozi huyo wa Kihistoria wa Cuba na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na hizi nchi mbili zimefaidika mno kwa ushirikiano wa Kisiasa, Kilimo, Biashara bila kusahau Kiulinzi na Kiusalama.

Ndipo kwa Heshima na taadhima kabisa huku nikijua kuwa Mheshimiwa Rais wetu ana ratiba ngumu kabisa na majukumu mengi ya kututumikia sisi Watanzania na mara nyingi amekuwa akituma wawakilishi wako katika mambo kadhaa huko nje ya nchi hasa Makamu wake Mama yetu Samia Suluhu na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim ila kwa huu ' msiba ' mzito na mkubwa wa Kidunia tunamwomba sana Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ' akatuwakilishe ' moja kwa moja Watanzania na ' tutafarijika ' sana.

Naomba ' uzi ' huu usieleweke vibaya labda kama nataka kumpangia Rais nini cha kufanya kwani kiukweli hata uwezo huo sina ila ' nimeguswa ' na huu ' msiba ' mzito kabisa kutokana na Historia zetu hizi nchi mbili na Urafiki wetu wa shida na raha na Watu wa Cuba.

Poleni sana Watanzania mlioguswa kama Mimi na huu ' msiba ' na pia pole zao kubwa Wananchi wa Cuba kwa kuondokewa na Revolutionary Icon na True Hero Mzee Fidel Castro na ama hakika ametuachia kumbukumbu na legacies nyingi mno sisi Wanamapinduzi ambayo bila shaka inabidi sasa tupite mule mule ambapo ' Marehemu ' alipita.

Nitoe pia pole zangu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) kwani najua kuwa tulikuwa na ' ushirikiano ' mkubwa na mzuri mno na Watu wa Cuba hasa ukizingatia kuwa ' Marehemu ' alilipenda na kuliheshimu mno Jeshi letu la Tanzania na hakuna ubishi kuwa asilimia fulani za ' uzuri ' na ' ufanisi ' wa ' kiutendaji ' wa Jeshi letu pendwa na zuri la JWTZ pia zilichangiwa na Millitary Philosophies za Mzee Fidel Castro.

Nimtakie tu maziko mema Mzee Castro na may his soul rest in peace. Jembe la ukweli na la Kimapinduzi limeondoka na ' ubora ' na ' utamu ' wake.
Nyerere alivyoaaga dunia, Castro alikuja TZ?
 
Very ' foolish ' Mkuu. Wewe unajua labda muda huo Marehemu Castro alikuwa na ratiba gani au amekumbwa na nini? Kwa umekaa mwenyewe ukatafakari na kujipanga kisha ukaona uje na a very ' blanket ' post kama hiyo yako humu kwa Ma Great Thinkers? Unajua maana ya dharura? Wewe hujawahi kuwa na ' Msiba ' labda wa ' Mshikaji ' wako kabisa lakini kutokana na kukumbwa au kubanwa na ratiba fulani ukashindwa kuhudhuria mazishi yake? Halafu nadhani ungeusoma vizuri ' uzi ' wangu wala usingetudhihirishia ' uwehu ' wako wa ' kifikra ' humu kwani kuna mahala nimesema kabisa kuwa namwomba tu Mheshimiwa Rais ' akatuwakilishe ' huko ' mazikoni ' Havana ila sijamlazimisha aende kwani sijajua ratiba zake. Nilichokifanya ni kumwaomba na kumshauri tu na siyo kumlazimisha hasa ukizingatia sina pia huo uwezo wa kumpangia na kumlazimisha yeye nini cha kufanya. Siku nyingine jikite mno katika kuelewa ' content ' ya ' uzi ' tafadhali.
 
Hapo hata maraisi wetu wastaafu wanaweza kumuwakilisha kama Ben na Mwinyi wanatosha sana

Upo sahihi Mkuu japo naona katika hao Marais ' Wastaafu ' umemsahau na Vasco Da Gama jr ila sina uhakika kama ' Kiprotokali ' italeta picha fulani hivi nzuri hasa hasa kwa ' urafiki ' wetu mkubwa niliouelezea hapo juu. Kama Mheshimiwa Rais yupo vizuri na anaweza tu aka ' adjust ' ratiba zake kwenda kwake Havana ' mazishini ' kutaimarisha mno ule ' Ukomredi ' wetu.
 
Upo sahihi Mkuu japo naona katika hao Marais ' Wastaafu ' umemsahau Vasco Da Gama jr ila sina uhakika kama ' Kiprotokali ' italeta picha fulani hivi nzuri hasa hasa kwa ' urafiki ' wetu mkubwa niliouelezea hapo juu. Kama Mheshimiwa Rais yupo vizuri na anaweza tu aka ' adjust ' ratiba zake kwenda kwake Havana ' mazishini ' kutaimarisha mno ule ' Ukomredi ' wetu.
Nakubaliana na wewe kabisa, kwanza wakati huo jk alikuwa bado sana.

Naona ni vizuri wakaenda wale waliokuwa enzi za comrade na kumjua vizuri, kwani inapotokea mazishi makubwa kwa kiongozi mkubwa hivyo hata wamarekani utawaona kina Jimmy Carter

Well and good kama atatuwakilisha tutafurahi sana
 
Aanzie bukoba kwanza ndiyo aende Cuba, wananchi hatutamuelewa

mmmmmmh.....hili nalo neno! Mkuu una ' hoja ' ya msingi sana halafu ni ya muhimu mno. Kuna Watu mnajua ' kufikiri ' humu JF hadi raha. Big up sana Mkuu.
 
Nakubaliana na wewe kabisa, kwanza wakati huo jk alikuwa bado sana.

Naona ni vizuri wakaenda wale waliokuwa enzi za comrade na kumjua vizuri, kwani inapotokea mazishi makubwa kwa kiongozi mkubwa hivyo hata wamarekani utawaona kina Jimmy Carter

Well and good kama atatuwakilisha tutafurahi sana

Absolutely Mkuu.
 
Very ' foolish ' Mkuu. Wewe unajua labda muda huo Marehemu Castro alikuwa na ratiba gani au amekumbwa na nini? Kwa umekaa mwenyewe ukatafakari na kujipanga kisha ukaona uje na a very ' blanket ' post kama hiyo yako humu kwa Ma Great Thinkers? Unajua maana ya dharura? Wewe hujawahi kuwa na ' Msiba ' labda wa ' Mshikaji ' wako kabisa lakini kutokana na kukumbwa au kubanwa na ratiba fulani ukashindwa kuhudhuria mazishi yake? Halafu nadhani ungeusoma vizuri ' uzi ' wangu wala usingetudhihirishia ' uwehu ' wako wa ' kifikra ' humu kwani kuna mahala nimesema kabisa kuwa namwomba tu Mheshimiwa Rais ' akatuwakilishe ' huko ' mazikoni ' Havana ila sijamlazimisha aende kwani sijajua ratiba zake. Nilichokifanya ni kumwaomba na kumshauri tu na siyo kumlazimisha hasa ukizingatia sina pia huo uwezo wa kumpangia na kumlazimisha yeye nini cha kufanya. Siku nyingine jikite mno katika kuelewa ' content ' ya ' uzi ' tafadhali.
GENTAMYCINE katika kilele cha ubora wake. nimecheka sana hayo majibu uliyompa huyo jamaa. JamiiForums is the best social network here on earth.
 
Back
Top Bottom