Mheshimiwa Rais Magufuli, kwa heshima kubwa ya Kiurafiki katuwakilishe mazishini Havana

Nchi yako lini ikawa na vipaumbele? huwa hauoni mamilioni yakitolewa kwa "watembea uchi" majukwaani wanaoitwa ma miss wakati vijana waliojikita kwenye kilimo wakikosa hata msaada wa kupewa hata 50,000 kuwasaidia? yako mangapi yanatendeka ya hovyo nchi hii na watu wanakenua tu meno!!! Watanzania sisi ndo hatuna akili, hatuna vipaumbele na wala hatua uzalendo.

Umbea tu na fitina ndo hulka yetu .
 
Very ' foolish ' Mkuu. Wewe unajua labda muda huo Marehemu Castro alikuwa na ratiba gani au amekumbwa na nini? Kwa umekaa mwenyewe ukatafakari na kujipanga kisha ukaona uje na a very ' blanket ' post kama hiyo yako humu kwa Ma Great Thinkers? Unajua maana ya dharura? Wewe hujawahi kuwa na ' Msiba ' labda wa ' Mshikaji ' wako kabisa lakini kutokana na kukumbwa au kubanwa na ratiba fulani ukashindwa kuhudhuria mazishi yake? Halafu nadhani ungeusoma vizuri ' uzi ' wangu wala usingetudhihirishia ' uwehu ' wako wa ' kifikra ' humu kwani kuna mahala nimesema kabisa kuwa namwomba tu Mheshimiwa Rais ' akatuwakilishe ' huko ' mazikoni ' Havana ila sijamlazimisha aende kwani sijajua ratiba zake. Nilichokifanya ni kumwaomba na kumshauri tu na siyo kumlazimisha hasa ukizingatia sina pia huo uwezo wa kumpangia na kumlazimisha yeye nini cha kufanya. Siku nyingine jikite mno katika kuelewa ' content ' ya ' uzi ' tafadhali.
boss umeulizwa swali zuri unapaniki? ukiweka bandika kausha maGT washushe nondo
 
Back
Top Bottom