Mheshimiwa Ndesamburo

Kama wamepata kihalali ni matajiri tu mkuu na wana haki ya kuwa matajiri sijui kwanini umeshtushwa sana,unless una ushahidi wa ufisadi,si vyema kuwa na chuki tu kwasababu mtu ana kisu.Pambana na wewe mambo itakuwa safi oneday na si kushtushwa tu chapaa mwenzako aliyonayo,pambana mkuu,usishtushwe na maeropleni...Na kwa taarifa yako kama angekuwa na ufisadi usidhani kama ccm wangemwacha,wahindi na waarabu hapo bongo wakiwa na kisu hamna shida,mchagga ama mweusi mwenzetu tabu khaa!!

duuuh umeihamishia ile hoja yetu huku!!! Ila kwa hapa nafikri umejitahidi kusema la maana japo nahisi kuna some motivation behind your comments.

Anywayy ni kweli muhimu ni kupambana tena kiume lakini itaongeza ARI ya mapambano hasa ukijua wenzio walifanikiwaje au walipita njia zipi hadi wakafika pale walipo. Sikusema kwa nia mbaya mkuu na wala sikumlenga mtu japo mfano wangu unaharufu hiyo. HOJA IPO PALE PALE...TUJUE WANAPATAJE MIJIHELA YOTEE WAKATI WATANZANIA WENGI NI MASKINI WA KUTUPWA.
 
Back
Top Bottom