Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,976
- 32,380
So what?
Hoja ya kitoto hiyo!
So what?
Nashangaa wabunge wanabisha wakati mwenyewe hajabisha! Mbona salva hajakanusha!
hata riziwani ni dhaifu
Pia msimsahau zamaradi naye ni dhaifu pia

Zamaradi amezaa na Ruge na sio Ridhi-One.
Alichosema Shy-rose ni kwamba hata wewe uliyemnukuu ni dhaifu.Hayawi hayawi huwa!
Mbunge wa Afrika Mashariki, Mhe. Shyrose katika mtandao wa Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More amefunguka na kuandika kama ifatavyo katika hii nukuu:- "Mbona serikali
hawakumuelewa Mnyika
Bungeni. Kwani si kweli
kuwa binadamu wote tuna
udhaifu?!"
Msemo huu unathibitisha kuwa:-
1. Rais ni dhaifu
2. Waziri Mkuu ni dhaifu; jambo Zitto Kabwe alithibitisha zamani.
3. Mawaziri na manaibu wao ni dhaifu
4. Wakurugenzi ni dhaifu
5. Ma-DC ni dhaifu
6.
7.
8.
9.
10.
......wote ni dhaifu na wamechaguliwa au teuliwa na Rais dhaifu ambaye pia ni Mwenyekiti dhaifu wa chama dhaifu.
Ikumbukwe Mbunge huyu (Shy-Rose Bhanji) alichagulia katika upande wa CCM lakini haoni haja yoyote ya kutetea pumba na ndio maana ameamua kusema jambo hili ambalo limesababisha baadhi ya wanachama wenzake wa CCM kujiandaa kuandamana kama njia moja ya kupaka chadema tope pamoja na Mbunge Mhe John Mnyika.
Kwa upande wa chadema kauli kama hizi ni mitaji mikubwa katika siku za usoni hasa katika vuta ni kuvute za Kisiasa.
Source:http://m.facebook.com/shyrose.bhanji.7
Lulu naye ni dhaifusasa zamaradi kafikaje hapa?ni mwanasiasa au?
Hoja ya kitoto kabisa hii...hii inanikumbusha wakati nipo darasa tatu tunga msamiati kutumia neno dhaifu.
Hoja lege lege!
Hayawi hayawi huwa!
Mbunge wa Afrika Mashariki, Mhe. Shyrose katika mtandao wa Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More amefunguka na kuandika kama ifatavyo katika hii nukuu:- "Mbona serikali
hawakumuelewa Mnyika
Bungeni. Kwani si kweli
kuwa binadamu wote tuna
udhaifu?!"
Msemo huu unathibitisha kuwa:-
1. Rais ni dhaifu
2. Waziri Mkuu ni dhaifu; jambo Zitto Kabwe alithibitisha zamani.
3. Mawaziri na manaibu wao ni dhaifu
4. Wakurugenzi ni dhaifu
5. Ma-DC ni dhaifu
6.
7.
8.
9.
10.
......wote ni dhaifu na wamechaguliwa au teuliwa na Rais dhaifu ambaye pia ni Mwenyekiti dhaifu wa chama dhaifu.
Ikumbukwe Mbunge huyu (Shy-Rose Bhanji) alichagulia katika upande wa CCM lakini haoni haja yoyote ya kutetea pumba na ndio maana ameamua kusema jambo hili ambalo limesababisha baadhi ya wanachama wenzake wa CCM kujiandaa kuandamana kama njia moja ya kupaka chadema tope pamoja na Mbunge Mhe John Mnyika.
Kwa upande wa chadema kauli kama hizi ni mitaji mikubwa katika siku za usoni hasa katika vuta ni kuvute za Kisiasa.
Source:http://m.facebook.com/shyrose.bhanji.7
Hayawi hayawi huwa!
Mbunge wa Afrika Mashariki, Mhe. Shyrose katika mtandao wa www.facebook.com amefunguka na kuandika kama ifatavyo katika hii nukuu:- "Mbona serikali