Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Hakuna cha muda wala nini. Juzi walipoapishwa tulielezwa waanza kazi mara moja hata kabla ya kuapishwa kuwa wabunge. Hiyo ilionyesha kuwa katiba inavunjwa kutokana na dharura na unyeti wa kazi zao.Kwa uteuzi wa huyu waziri hapa Rais amenikosha sana tumpe muda.
Sasa kama Tanesco wanadai feza nyingi kwenye majeshi na wanakata umeme ili hazina ilipe na Amri toka juu inawaamuru kurudisha umeme bila kuhoja eti hizo ni sehemu nyeti, Ninge muomba huyo Waziri asubiri tuu akishaapishwa kuwa Mbunge June hapo hapo ajiuzulu uwaziri kwa kuzuiwa kufanya kazi yake (Tanesco kukusanya madeni)
Haya mambo ya kumpa muda mtu yamepitwa na wakati, mbona CCM imepewa muda wa miaka 50 na bado imeshindwa inataka mingine? Sasa tuwe na kawaida ya One mistake one way ticket.