Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,845
Mbona angesema hivyo watu wala wasingempigia kelele? au ana kumbukumbu kama za kuku?
Tehteh!
MACCM huwa haya kumbuki kaulizao.
Mbona angesema hivyo watu wala wasingempigia kelele? au ana kumbukumbu kama za kuku?
Katika gazeti la Nipashe leo 29 Juni 2013, Mhe Pinda amenukuliwa:
"Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa serikali haitavumilia hata kidogo kuendelea kupandwa mbegu za chuki na za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania.
"Serikali itachukua hatua bila huruma kuzima njama hizi mbaya dhidi ya Taifa letu...na vile vile, hatua kali zitachukuliwa kwa mtu yeyote atakayebainika kuhusika bila kujali hadhi na nafasi yake katika jamii".
Sugu kajitakasa jana Mahakamani na Kapigia Mstari mbele ya Mahakama kwamba PINDA ni -------.
huu si uungwana,try to be rational!
nasikia mkutano ule haukuwa na fujo zozote ila hilo la bomu inaelekea lilisukwa.
Kuondoa mzizi wa fitna ni kuweka wazi ile clip ili aliyerusha hilo bomu ajulikane wazi-awe polisi au vinginevyo.
Sasa ninelekea wiki ya pili hata kwenye youtube haijawekwa, wasi wasi unantanda kuwa si ajabu aliyepanga swala zima halijaenda kama lilivyotarajiwa-ama sivyo ukimya huu una maana gani?
Kaa na wajukuu umezeeka,na mkeo yule watano anakutaka nyumbani.
Kaa na wajukuu umezeeka,na mkeo yule watano anakutaka nyumbani.
Mbona angesema hivyo watu wala wasingempigia kelele? au ana kumbukumbu kama za kuku?
At last Mhe Pinda amewajibu wale waliokuwa wakihoji hoji tamko lake la kuwashughulikia kwa kuwapiga watakao leta fujo nchini.
Ni tamko linalotia moyo na kurudisha heshima ya nchi na kudumisha amani kwa nguvu yoyote ile.
Wale waliosikika wakisema nchi haitotawalika wako kimya .
Hata Yule mama Helen Bisimba hajawahi kutolea tamko huu usemi wa nchi kutokawalika, kimsimamo wa haki za binadamu maana yake nini hasa, na nchi itakuwaje isipotawalika.
Katika gazeti la Nipashe leo 29 Juni 2013, Mhe Pinda amenukuliwa:
"Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa serikali haitavumilia hata kidogo kuendelea kupandwa mbegu za chuki na za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania.
"Serikali itachukua hatua bila huruma kuzima njama hizi mbaya dhidi ya Taifa letu...na vile vile, hatua kali zitachukuliwa kwa mtu yeyote atakayebainika kuhusika bila kujali hadhi na nafasi yake katika jamii".
Wakati huo huo wengi tunajua kuwa kuna mbunge asiyejiheshimu amemtukana Waziri Mkuu mtandaoni.
Na mwingine yuko on record akisema polisi wamerushia mabomu wananchi ili wawaue huko Arusha
Sasa hapa ni patamu, maana waziri Mkuu asingesema aliyoyasema bila kuwa na background information.
Ni vizuri upande unaojisikia unakusudiwa ujisafishe haraka katika jamii, maana wamesha jipakaa tope la kusika na fujo zilzopelekea mauaji nchini.
Kwa kifupi waswahili wana sema CDM should come clean!!
Unafiki huwa unaumbua!Thus very nice statement! Watu wanatamka hadharani kuwa nchi isitawalike bado human right walinyamazia kimya angali waliyaona.Nafikira nivema ukalizimishiwa amani pale unapoivunja.
PM kaongelea ishu ya mbunge kuandika matusi kwenye mtandao na mambo ya bomu Arusha au kaongelea kuhusu kauli yake ya kupambana na wachochezi
na wavunjifu wa amani?
au hapo umeamua kuunganisha habari mbili kutengeneza conclusion?
Upumbavu ni kipaji na wewe umebarikiwa kuwa nacho.Werevu kama wewe huwa mnabarikiwa kama Sugu.
Amani huwa hailazimishwi ndugu huwa inajengeka pale pande zote zinapokuwa na Busara na kuheshimiana, Kama akina Lusinde, Mwigulu, Selukamba, Juma Nkamia na wengine ndani ya CCM wamatoa kauli zisizo stahili na wanaonekana hawana makosa laki Sugu, Lisu na wengie wa upinzani wanapotoa kauli ambazo pia si stahili wanaonekana wamefanya makosa makubwa sana unatarajia amani itapatika?Thus very nice statement! Watu wanatamka hadharani kuwa nchi isitawalike bado human right walinyamazia kimya angali waliyaona.Nafikira nivema ukalizimishiwa amani pale unapoivunja.
Asante kwa compliments mkuu, tatizo ni kwamba nawe hujijui kuwa u nguli katika kundi hilo hilo.Upumbavu ni kipaji na wewe umebarikiwa kuwa nacho.
Taratibu mkuu, Sugu must be sorry now for his verbal diarhea.Mbona angesema hivyo watu wala wasingempigia kelele? au ana kumbukumbu kama za kuku?
Ila kufananisha akili za kiongozi na za kuku ndio uungwana,mbona nyie Chadema mnapenda kuungana mkono kwenye mambo ya kijinga?huu si uungwana,try to be rational!
carter nimesoma gazet leo kuwa huyo MBUNGE hana kesi ya Kujibu,