Anataja majina ya kamati ya katiba na kuwapongeza wajumbe wa kamati hiyo, na anaowaomba wananchi waipe ushirikiano wakutosha pindi kamati itapoanza kkufanya kazi yake
Sidhani kama kuna jipya atakalosema huyu..
anawapongeza Simba kwa ushindi,
anawatakia Marehemu wa ajali mbalimbali wa R.I.P
anataja wajumbe wa Tume ya Katiba
anawataja washindi wa Bunge la EAC
sijui na mifuko gani anaitaja hapa,
ashanichosha..!
Kwa hii hotuba ya mtoto wa mkulima nataka niwahakikishie kwamba hakuna waziri hata mmoja kujiuzulu! Itakuwa ni bonge la hatua kwa ccm ambayo sidhani kama wanauwezo wa kuchukua!
Sioni dalili zozote za kuwajibika..... I am so disappointed now.... Yaani he is tooooooooo general anasomaaaaa maana analetewa tu na kutoa +ves kuonyesha matumaini
while hali ni mbaya sana, wezi wanastarehe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.