MHE. Joseph Selasini Amvaa Mwigulu Nchemba!! Asema yeye si Msemaji wake.

Achana na wanamipasho wa magamba,endelea na matibabu uje kutumikia chama.Wanaume wanapokuwa wanamipasho inasikitisha.
 
Kama hili andiko ni la mbunge, basi tuna safari ndefu sana.

Wabunge wenu wa ADC wangeandikaje?

Tukiacha hayo, nadhani Mwigulu alifanya jambo ambalo si la kistaarab kabisa bungeni. Kwanini aliona ni sawa kugeuza hali ya Mh Selasini kuwa sehemu ya mchango wake kwenye bunge la bajeti? Huku sio kuingilia haki ya mgonjwa? Mh Selasini au viongozi wa CHADEMA wana-report kwa Mwigulu?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA NA MH.MWIGULU NCHEMBA JUU YANGU NA CHAMA CHANGU.
Ndugu zangu kwanza nachukua nafasi hii kuendelea kumshukuru Mungu kwa afya njema anayoendelea kunijalia mimi na Mke wangu hapa Hospitali ya KCMC. Pia niwashukuru wote walionifariji/wanaoendelea kunifariji katika kipindi chote cha matatizo yaliyotokea.

UTANGULIZI.
Itakumbukwa kuwa tarehe 28/05/2012 nilipata mbaya ya gari. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Boma karibu na chuo cha VETA. Watu wa kwanza kufika kwenye Eneo la ajali na kutupa msaada walikuwa ni Askari Polisi waliokuwa Doria karibu na eneo lile na Raia waliofika wa pia walikuwemo MWENYEKITI WA CHADEMA (W) YA HAI pamoja na MWENYEKITI WA BAVICHA (W) YA HAI. Walisaidiana na Polisi kuchukua majeruhi (Mimi nikiwemo) pamoja na marehemu waliofariki pale hadi Hospitalini.
Baada ya kufika hospitalini pia walifika MHE.MEYA WA MANISPAA YA MOSHI (AMBAYE PIA NI DIWANI WA CHADEMA) akiongozana na baadhi ya VIONGOZI WA CHADEMA WA KATA YAKE NA BAADHI YA MAENEO YA MOSHI MJINI.. Baadaye alifika KATIBU WA CHADEMA MKOA WA KILIMANJARO AKIONGOZANA NA BAADHI YA MADIWANI WA CHADEMA WA MOSHI NA ARUSHA na Viongozi wengine ambapo nakumbuka walitokea Wilaya ya Mwanga kwenye Mikutano ya Hadhara. Tulikuwa wote hadi tunapatiwa huduma na majeruhi tukapelekwa Wodini. Siku iliyofuata nilipokea Simu kutoka kwa MHE. FREEMAN MBOWE (MWENYEKITI WA CHADEMA NA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI) akiwa Mtwara kwa shughuli za Chama akinipa Pole kwa yaliyotokea na kunifariji.
Baadaye hali yangu ilipoimarika kidogo tukapanga taratibu za mazishi ya Marehemu Mama yangu Mzazi (R.I.P) na miongoni mwa watu waliohudhuria kwanza ni WANACHAMA WA CHADEMA, MADIWANI WOTE WA CHADEMA ARUSHA, MADIWANI WA MOSHI MJINI NA MOSHI VIJIJINI. Kutoka makao makuu ya CHADEMA waliwakilishwa na Mhe.Rwakatare na Ndg.Anthony Komu (Mkurugenzi wa Fedha na Utawala) Pia walihudhuria Baadhi ya WWABUNGE WA CHADEMA wakieleza sababu za viongozi na wabunge wengine kutokuhudhuria (Na zilikuwa Sababu za Msingi kabisa) kwa sababu hata baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria walileta salam za wakubwa wao ambao nao walitamani kuhudhuria lakini kutokana na sababu mbali mbali walishindwa!..
Pamoja na hayo,MHAMA JOSEPHINE MUSHUMBUSI (MKE WA MHE.KATIBU MKUU WA CHADEMA) alinitembelea hospitalini akiwa na wajumbe kadhaa... Aliniletea salam za pole kutoka kwa KATIBU WANGU MKUU WA CHAMA. Nilifarijika sana kuona kuwa kiongozi wangu pamoja na kuwepo kwake safarini kikazi lakini bado aliweza kutuma ujumbe kwangu..
Baadaye nilihamishiwa MOI (Muhimbili) kwa ajili ya matibabu Zaidi. Nakumbuka walifika wabunge wengi sana wa CHADEMA lakini kubwa zaidi alifika MHE.FREEMAN MBOWE (MWENYEKITI WA CHADEMA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI).

KANUSHO.
Nimekuwa nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mwigulu Nchemba (Mb-CCM) Anatangaza kuwa Chama changu kimenitupa na hakina msaada wala Ushirikiano na mimi kwenye Matatizo yaliyojitokeza..
Kwanza: Sijawahi kumwajiri Mwigulu Nchemba kuwa msemaji wangu!.
Pili: Mwigulu Nchemba si mkweli na hajui chochote kuhusu mimi wala CHADEMA.
Tatu: Mwigulu Nchemba anataka nionekane sina shukrani kwa viongozi na Chama changu kwa Umoja na Ushirikiano wanaoendelea kunipatia hata sasa.
Nne: Viongozi wangu wanafuatilia kwa karibu sana matibabu yangu na Mke wangu.

MWISHO:
Naomba Mwigulu aelewe kuwa sitaki malumbano yasiyo na Tija kwangu wala kwa Wananchi wangu Walionichagua. Pia nisingependa kumtaja Marehemu Mama Yangu (R.I.P) kabla hata ya Arobaini. Zaidi ya yote akumbuke kuwa Viongozi na Wabunge wa CHADEMA wana mambo mengi ya kufanya na hawatakuwa tayari tena kujibu uongo na uzushi DHAIFU kama aliouzusha!!.


Ahsanteni Sana,
Mungu aendelee kuwabariki.
Joseph Selasini
(Mb) Rombo-CHADEMA.

Kamanda Selasini pole sana kwa kero hizi, tafadhali mpuuze Nchemba kama unavyopuuza kinyesi kando kando ya njia! Tanzania nzima kwa kupitia runinga zimemuona na kumuelewa mtu huyu anayeitwa Mwigulu nchemba, ni kituko kisicho mfano! kumbe ni kweli "never judge a book by its cover" alas! paper qualifications, big cars au mvi sio kigezo cha busara ya mtu!?
Ninakuomba upumzike ili afya yako ipate kurudi katika hali bora haraka ili uweze kurudi ulingoni kusukuma mapambano ya ukombozi wa mtanzania, changamoto sasa ziko nyingi zaidi kuliko kabla ya kupata kwako ajali; ukizingatia pia kwamba sasa kuna kitisho cha "msitu wa mabwepande" dhidi ya makamanda wa Chadema; lakini No retreat no surrender is the by word.
ugua pole kamanda wetu na mwenyezi Mungu atakupigania.
 
Jamani hivi Rais wetu yuko kwenye kundi lipi kama tukim-judge against the below statement?

............"
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!"...............!
 
Mchumba Mwigulu utaparalize lini? Maana unajua dhiki tuliyo nayo na utajiri tulio nao ila kwa makusudi unapotosha haki, Mungu atakuondoa
 
Kama mimi ni mpumbavu basi wewe ni kiongozi wa wapumbavu. Huwezi kutetea kitu kisichokuwa na ushahidi.
Taabu ya shule za kata, sasa usichoelewa hapa nini? umeambiwa na wachangiaji zaidi ya kumi humu ndani kuwa huyo mwehu mwenzako alilipuka bungeni na taarifa zipo kwenye hansard ya bunge, wewe na ujinga wako bado unakuja kudai hakuna ushahidi, unataka ushahidi gani zaidi? Unangoja nini kwenda hospital kupata matibabu ya akili?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UZUSHI UNAOENEZWA NA MH.MWIGULU NCHEMBA JUU YANGU NA CHAMA CHANGU.
Ndugu zangu kwanza nachukua nafasi hii kuendelea kumshukuru Mungu kwa afya njema anayoendelea kunijalia mimi na Mke wangu hapa Hospitali ya KCMC. Pia niwashukuru wote walionifariji/wanaoendelea kunifariji katika kipindi chote cha matatizo yaliyotokea.

UTANGULIZI.
Itakumbukwa kuwa tarehe 28/05/2012 nilipata mbaya ya gari. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Boma karibu na chuo cha VETA. Watu wa kwanza kufika kwenye Eneo la ajali na kutupa msaada walikuwa ni Askari Polisi waliokuwa Doria karibu na eneo lile na Raia waliofika wa pia walikuwemo MWENYEKITI WA CHADEMA (W) YA HAI pamoja na MWENYEKITI WA BAVICHA (W) YA HAI. Walisaidiana na Polisi kuchukua majeruhi (Mimi nikiwemo) pamoja na marehemu waliofariki pale hadi Hospitalini...


Thanks very well said na betterschap manneer Selasin
 
Kama hili andiko ni la mbunge, basi tuna safari ndefu sana.

Safari ndefu kuelekea wapi sasa? Huna tofauti na changudoa, si utafakari hata kabla ya kujibu post? Yaani kwa kuwa umesoma ukaelewa vizuri, ukakosa namna ya kukosoa, ukaamua si vizuri kutojibu hata maneno ya kipuuzi kama haya uliyoandika coz huna maneno ya busara!! Akili ya KUKU.
 
Jamaa huwa lina wavalia bendera ya taifa wake za watu!anaidhalilisha bendera ya taifa mzinzi huyu,muongo yeye mara mwizi wa ela za epa yeye,kazi kwelikweli.

ile bendera shingoni huwa havai bure kaka ni masharti ya mganga wake, alimwagiza azini na wake za watu na kuvaa bendera ... kwa hiya chemba ni mwaminifu kwa mganga wake
 
Back
Top Bottom