MHE. Joseph Selasini Amvaa Mwigulu Nchemba!! Asema yeye si Msemaji wake.

Mchumi daraja la kwanza BOT ;;;;;;;;; ajira za kupeana nafikiri hakufanyiwa hata interview na kama alifanyiwa atakuwa kavaa bendera ya ccm na ya taifa;;; viva Mnyika and Tundu
 
KANUSHO.
Nimekuwa nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mwigulu Nchemba (Mb-CCM) Anatangaza kuwa Chama changu kimenitupa na hakina msaada wala Ushirikiano na mimi kwenye Matatizo yaliyojitokeza..
Kwanza: Sijawahi kumwajiri Mwigulu Nchemba kuwa msemaji wangu!.
Pili: Mwigulu Nchemba si mkweli na hajui chochote kuhusu mimi wala CHADEMA.
Tatu: Mwigulu Nchemba anataka nionekane sina shukrani kwa viongozi na Chama changu kwa Umoja na Ushirikiano wanaoendelea kunipatia hata sasa.
Nne: Viongozi wangu wanafuatilia kwa karibu sana matibabu yangu na Mke wangu.

Ni vyombo gani vya habari vimeandika hayo masuala?, jamani kila mtu anajua kwamba vyombo vingi vya habari ni magumashi, una uhakika gani kama ni Mwigulu Nchemba ameyasema hayo?. Unaweza kuyaleta hayo maandishi hapa jamvini?. This is too low kwa Mbunge kukurupuka na kuleta vioja kama hivi.
What a waste!!!
 
Too late! Timeliness is vitally important in issues of the like. You missed an important opportunity to put things in the right perspective; the window-dressing you are traying to make will unfortunately unable to turn a stone! But I hope a lesson was learnt
 
Hakuna mtu anayeweza kumpangia Mbunge Selasini, ni lini ajibu tuhuma zinazomhusu, kila wakati ni sahihi, ili mradi ujumbe ufike kwa waliosikia upotoshaji!
Mlitaka akurupuke siku ileile kumjibu mpumbafu?
Mwigulu kwa venacular yangu inamaanisha mtu anyeishi DARINI!...puuu!
 
Ila selasini kwa nia njema kabisa, fuata sheria za usalama barabarani, lakini pia si vizuri mheshimwa kujiongoza, ajiri mtu wa kukuongoza. Wapo vijana wengi wana harakati hawana ajira, ndo nafasi yao hiyo
 
Njia ya mwongo n fupi,hapa mwigulu kapatikana na kadhihirisha km yy ni dhaifu na anatumia gutter politics.aibu kubwa!
 
Pole sana mkuu japo hujanitaja. Na mimi nilikuwepo pale hospitali siku ya pili asubuhi nikiwa na ndugu yako aitwaye Dr. Masumbuko Lamwai!!
 
Pole sana kamanda ucjali tunakuombea kwa Mungu utapona Mwigulu ana mapepo anatakiwa akaombewa msamehe bure
 
Selasini anatoa shukrani kwa kubagua kisiasa. Hapa ametaja wooote wa CDM, sikuona hata mmoja wa CCM. Mbona CCM wengi tu walimtembelea na kumpa pole akiwemo Waziri Mkuu Pinda. Shukrani ni kwa magwanda wenzake tu?

Ugua Pole Mheshimiwa Selasini.
 
Endelea kufafanua zaidi, vp ameisha pitia pitia maeneo ya home nn?

hakatizi anagechwa kwa spidi kali!
hiyo ni early warning kwa wote amewabanjua wa magamba kibao!! mpaka akakamatwa ugoni na kuhonga pesa za kampeni IGUNGA!!
 
KANUSHO.
Nimekuwa nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mwigulu Nchemba (Mb-CCM) Anatangaza kuwa Chama changu kimenitupa na hakina msaada wala Ushirikiano na mimi kwenye Matatizo yaliyojitokeza..
Kwanza: Sijawahi kumwajiri Mwigulu Nchemba kuwa msemaji wangu!.
Pili: Mwigulu Nchemba si mkweli na hajui chochote kuhusu mimi wala CHADEMA.
Tatu: Mwigulu Nchemba anataka nionekane sina shukrani kwa viongozi na Chama changu kwa Umoja na Ushirikiano wanaoendelea kunipatia hata sasa.
Nne: Viongozi wangu wanafuatilia kwa karibu sana matibabu yangu na Mke wangu.

Ni vyombo gani vya habari vimeandika hayo masuala?, jamani kila mtu anajua kwamba vyombo vingi vya habari ni magumashi, una uhakika gani kama ni Mwigulu Nchemba ameyasema hayo?. Unaweza kuyaleta hayo maandishi hapa jamvini?. This is too low kwa Mbunge kukurupuka na kuleta vioja kama hivi.
Usiwe unakurupuka kupost bila uelewa wa unachoandika! Haya maneno Mwingulu ameyatamka bungeni,hata mimi niliona ktk TBC1. Kwa ushahidi zaidi tafuta Hansard ya Bunge!
 
Mkuu nadiriki kusema wewe uko nyuma sana na ufuatiliaji wa mambo,au si mfuatiliaji kabisa wa mambo ila ni mkurupukaji na mshadadiaji,Mwigulu Nchemba kauli hiyo ya kipuuzi aliitoa bungeni na kila Mtanzania mfuatiliaji aliimsikia na kumuona kupitia radio stations na tv stations mbalimbali!usidhani Mh Selasini kakurupuka kama wewe ulivyokurupuka
 
Huyu Mwigulu ni bingwa wa kunanganya hasa wanawake ili afanye nao mapenzi, kwa vile tabia yake ya uongo uongo imemkolea anafikiri kila sehemu anaweza kudanganya, mi naomba aende akaendelee na kazi yake ya kueneza Ukimwi tu basi.
 
Usiwe unakurupuka kupost bila uelewa wa unachoandika! Haya maneno Mwingulu ameyatamka bungeni,hata mimi niliona ktk TBC1. Kwa ushahidi zaidi tafuta Hansard ya Bunge!

Wewe ndiye unakurupuka, yalete hayo maneno hapa jamvini si kila mtu anaangalia bunge.
 
Selasini anatoa shukrani kwa kubagua kisiasa. Hapa ametaja wooote wa CDM, sikuona hata mmoja wa CCM. Mbona CCM wengi tu walimtembelea na kumpa pole akiwemo Waziri Mkuu Pinda. Shukrani ni kwa magwanda wenzake tu?

Ugua Pole Mheshimiwa Selasini.

Mnataka nilazimike ku-comment hapa ilihali sula la Ajali ya Mbunge Selasini nipo kulifanyia kazi kujua kama ile Pikipiki iliyosababisha ajari ilitokea tuu au ndiyo yale mambo ya Kina Jack Zoka wa Usalama wa Taifa maana usalama wa Taifa kazi zao hazieleweki kabisa kwa hapa Tz. Mtu anaweza kupewa Imprest akamchomekee mbunge akiwa kwenye speed na kurudi side yake ilimradi tuu asababishe ajali.
 
Pole sana Mh.J.Selasini, maneno ya L Mwigulu Nchemba yasikupe tabu; huyo anajulikana kama msema hovyo na aliyejaa uzushi na umbea, hivyo anachokiongea inabidi achukuliwe kama kichaa vile.
 
Back
Top Bottom