n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,006
- 2,667
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa CCM wa Ubungo na Kinondoni katika ukumbi wa Ubungo plaza jijini Dar es Salaam jana.
Rais jakaya Kikwete akihutubia wana CCM wa jimbo la Ubungo, ukumbi wa Ubungo plaza
Kadi za CUF baada ya wenye nazo kiasi cha 80 hivi kuamua kurejea CCM
Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kutoka CUF uwanja wa Zakheem, Mbagala.
Mwana CCM akita hoja ukumbi wa Nakiete, Mbezi Beach, wakati Jakaya Kikwete alipokutana na wanachama wa jimbo la Kawe
wana CCM wa jimbo la Kawe wakimsikiliza Jakaya Kikwete ukumbi wa Ubungo plaza.
Umati uwanja wa Zakheem Mbagala jana kwenye mkutano wa kampeni wa Jakaya Kikwete
Uwanja wa Zakheem, Mbagala, ulitapika wana CCM wakati Jakaya Kikwete alipowahutubia.
Picha na maelezo ni kwa mujibu wa blog ya Haki Ngowi
Hivi hizi kadi za CUF mbona naona mpya sana? Si FEKI hizi?