Elections 2010 Mhe. Jakaya Kikwete ateka Kawe, Ubungo na Mbagala

Lakini nafikiri Kikwete ndiye rais anayeongoza kwa kudanganywa na watendaji wake, kuanzia serikalini mpaka kichama!

Zamani nilikuwa naamini hivyo, lakini sasa nimegundua, mwenyewe ndiye mdanganyaji, na kwa ajili hii wanamwambia kila anachotaka kusikia
 
We may not like, but there is a message from these photos. However, we may need to recognize the facts now or learn them october 31st!!!
 
Ukiona hivyo ujue badu CCM inaiogopa CUF, huu mtindo wa kuonyesha kurudisha kadi umeshapitwa na wakati, na ukiona hivyo ujue sehemu hiyo inatayarishwa wizi wa kura ,kule walionyesha za chadema na hapa za CUF basi kaeni mkao wa tahadhari katika sehemu hizo CCM lazima itakwiba kura maana pana tishio la wao kushindwa.
Halafu mwana CUF anaweza akarudisha kadi lakini uhakika kura yake haipeleki CCM hata siku moja.
 
Back
Top Bottom