Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 282
Hawa ndo washauri wa fedha wa wizara...... Nyumba za polisi ni mbovu, mishahara ni mibovu, vituo vya polisi chakavu!!!!! Kwa sababu ya huyu mtu!!!!!
Haaaa.... Kweli humuu ni jamvi la vingwenduuu!!!!
Hivi diploma iwe na thaman hivyo hadi mutafute jinsi ya kumtetea??????
Hana elimu huyooooooooooooo..... Fukuza kaziiii
He wont be suspended but some of you will walk with your degree certificates until they are completely worn out. Remember to laminate yours
...elimu yake ni ya kiwango cha Diploma, would you believe it??? Kuna haja ya kutafuta sababu ya uozo uliopo serikalini?
Haaaaa...
I am Accounting and Finance degree holder!!! Naw doing MBA... I am doing sam bziness....
5yrs to cam, sure gonna be great businesman with my own firm ....
We una elimu ya nin hadi unawazia ajira za kuajiriwa??????
BTW; you wont be rich by being employed by someone, but till you employ people to work for you!!!!!!!
Haaaaa...
I am Accounting and Finance degree holder!!! Naw doing MBA... I am doing sam bziness....
5yrs to cam, sure gonna be great businesman with my own firm ....
We una elimu ya nin hadi unawazia ajira za kuajiriwa??????
BTW; you wont be rich by being employed by someone, but till you employ people to work for you!!!!!!!
There is no way you can compare National Accounting Diploma (NAD) with recently university graduates in accounting. It is just the system which lead he/she to be diploma holder but he went same years of training but the best is he did closed examination to acquire that qualification
Google VA Business Assurance Services......I am self employed
By Gagnija
Mzito K,
Please enlighten me. Huyu Mwigamba amesomea uhasibu? Kama ndiyo, kwa level ipi, na hiyo level inakidhi kumweka uhasibu makao makuu ya chama? Na kama siyo, alipewa vipi kazi hiyo ya uhasibu. Nauliza kwa nia njema kwa kuwa nimekuwa naamini kuwa Mwigamba nimfahamuye amesoma Electronics & Telecommunication na baadaye Journalism.
Diploma elimu nyie mnamwona kama hajasoma mtz bana angekuwa mjomba ako ungepiga kimya kwa sababu hakuhusu ndo mnaleta unafiki hapa.Mbona bungeni kule watu wamedanganya elimu zao hamshangai kwa huyu ndo mnatoa mimacho
Kuwa na diploma pekee haitoshi wewe kuitangazia JF kuwa kuna uozo serikalini, lete uozo mwgine ama uozo ulioambatana na diploma hiyo
Kama ndivyo basi mwanasheria mkuu na jaji mkuu vilevile wangehitajika kuwa ma-professor wa sheria, ila kuna wakati unakuta ana degree moja. Kazini kuna kitu kinaitwa professional development ambayo kuna wakati inaweza ikawa horizontal au vertical ama both horizontal and vertical. Si ajabu kabisa uka mkuta mtu mwenye cheti ni mzuri hata kumzidi yule alie na shahada. tusibeze elimu za watu bila ya kujali uzoefu wao kazini. Mimi binafsi nimeshawahi kushudia mtu mwenye degree aki-seek professional assistance kwa mwenye diploma, na dharau za namna hii zikiendelea hasa maeneo ya kazi team work hupungua na mara hutokea kuboronga kwa kujifanya unajua kisa una degree kumbe huna lolote.
Mkuu sija kuelewa hapo,unaweza kuwa msomi lkn kazi sifuri mweupe,sioni tatizo sana kama anachapa kazi na ana muda mrefu kazini,lete hoja nyingine tujadili sio hiyo.
Diploma elimu nyie mnamwona kama hajasoma mtz bana angekuwa mjomba ako ungepiga kimya kwa sababu hakuhusu ndo mnaleta unafiki hapa.Mbona bungeni kule watu wamedanganya elimu zao hamshangai kwa huyu ndo mnatoa mimacho
experience matters braza, pia kuna internal auditors ambao wanakagua frauds on FSHaha, WaTanzania ndo maana tunaliwa na kudhulumiwa kila kukicha. Yani hapa watu mnatetea elimu ya diploma kisa eti experience.
Hivi mambo mangapi tunasikia yameoza serikalini? Mtu amesoma enzi za nyerere, tena ka_diploma... Wakati duniani siku hzi accountants are professionals,..not only skills but also with new technologies.
Watu siku hizi wanaiba kwa technology na kujua vifungu flan flan kwenye accounts. Nina wasiwasi hata mhasibu wa Tanesco nae ana_experience ya 20, with kidiploma. (Ndo maana huwa wanalia hela hazionekani kwenye shirika, na wanapata tu hasara kila siku) Hahaha
Mbali na kuwa na experience, ukiwa na elimu ndogo, una_lacky confidence... Sishangai kuona hela zinachotwa meremeta, epa. Kama tuna wahasibu kama hawa.