Mwanadamu kwa kawaida cha kwanza ni ulinzi lakini wengi walio na pesa wanaamini pesa ndiyo kila kitu, nataka nitowe wazo langu, katikafamilia wakwanza kupewa heshima msaidizi nyumbani anapika, anachota maji anakutengea chakula nakasumu hapo kumbuka mshahara mdogo.
Muovu hata umipe milioni 1 kwa mwezi atakuua tu, si unaona kachukua kadi hivo hizo ndio zimempa tamaa
 
Si umesikia walikuwa na miadi nae tangu hiyo jumatatu, ikabidi waende kumtafuta tena jumanne, yaani wewe uwe na miadi na mtu wako wa karibu siku nzima asipatikane usiingiwe na wasiwasi yupo wapi?
Tena mama mzazi ambaye muda wote mnaongea
 
huenda mama alikuwa na mtoto pekee wa kike huyo aliyeolewa hivyo urithi ungehamia kwa mwanae polisi ichunguze vizuri tukio hili haiwezekani mtu na mumewe kufanya mambo official ya kutafuta polisi kufungua geti as if kuna kitu walihisi hii huenda ni organized crime
Na huyo dogo inawezekana amepotezwa pia..mtoto wa marehemu na mume wake wachunguzwe
 
Dstv kuna chaneli ya crime investigation, kuna jamaa ni wataalamu balaa wa kuchunguza ishu kama hizi......kuna watu anaweza kukusoma tu saikolojia na kukuangalia machoni na akajua wewe ndo mhusika.
 
Naona humu Majaji ni wengi..., Hukumu zinatoka kwa Kasi ya Ajabu...

RIP Mhadhiri...
 
Mambo ya kujifanya unaishi kizungu, hutaki kukaa na ndugu, unakaa na houseboy/house girl majitu hujui yametokea wapi, mengine matoto ya mitaani (mwanza almaarufu watoto wa wakoma).
Kwani si ni ndugu hao hao huwa tunasikia wanawabaka ndugu zao?, au Mke anamuua Mme, Mtoto anamuua Mzazi n.k.

Hiyo mifano wala haifanyi kazi tena maana unaweza kuishi na Mtu baki ukawa salama kuliko hata nduguyo au mwanao.
 
Back
Top Bottom