Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
waweza kuwa na hata vijidudu zaidi ya buku mbili, tatu....,Wamesema Zitto amekutwa na vijidudu 150 vya malaria. Is this humanly possible? Maana vidudu 5 tu vya malaria mtu wa kawaida yuko hoi bin taabani. Pia, toka lini mtu akapelekwa India kutibiwa MALARIA? Sijawahi kusikia tamthilia hii
Yes it is humanly possible.