Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
Nadhani ni bora tukawaita madaktari wa Apollo wakaja hapa nchini ili kuwatibu hao viongozi wetu. Hivi nchi imekumbwa na nini? Wanasiasa wetu wanaishia India?

Sasa tuna wanasiasa wanne India wanaojulikana hao wanaongozana na wasaidizi na manesi!! Na hao ni wanaojulikana huenda kuna wengine wako huko kimya kimya!!
 
Kweli watanzania tumefika mwisho bora angekwenda samunge malaria mpaka india? Wakati ndg zetu wa vijijini wanachemsha muarubaini tu?

Mkuu, hilo nalo neno ...

Na kwamba sasa kama nchi imefilisika kiafya na makundi ya viongozi yanahemea afya HuKOOO ... ? Ina maana gani kama sikuwa ..Tumefilisika haswaaaa ... nafikiri .. tumefilsika karibu kwa kila kitu ... Kwa hata hivyo kwa sasa nani aniambie Tanzania tuna nini cha kujisifia au ..hata kusifiwaaa!!

Ina chosha kabisaaaa ..miaka hamsin...aahhh ..tumefayanini ..sijui ...tumeweza nini ..nyimbo zianchosha hizi!!
 
UPDATES:
HALI ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bado ni tete na sasa anapelekwa nchini India kwa matibabu zaidi.
Kwa mujibu wa taarifa ambazo gazeti hili imezipata mchana huu kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa, ni kwamba kiongozi huyo ameshauriwa kupelekwa nchini India kwa matibabu zaidi.
Taarifa zaidi zinasema tayari ameelekea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, na anatarajiwa kuondoka na ndege ya Emirates mchana huu.
"Anapelekwa India kwa matibabu zaidi na huu ni ushauri ambao amepewa na madaktari ambao walikuwa wakimtibu…wanasema anaitaji uangalizi na utulivu wa hali ya juu kimatibabu hivyo wameamua apelekwe nchini India," alisema kiongozi mmoja wa Chadema akizungumza kwa njia ya simu na mtandao huu.
Mbali na kuzuka kwa taarifa za kutatanisha na za kushtua juu ya hali ya Mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini, jana ililipotiwa kuwa hali yake ni mbaya na amehamishiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).
Awali Zitto alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, na hali yake ilivyobadilika ghafla jana jioni alipelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Zitto alilazwa Aga Khan juzi jioni baada ya kusumbuliwa na maumivu ya kichwa kabla ya kuruhusiwa na kisha kurudishwa baada ya maumivu hayo kuendelea.
Short URL: Breaking Newsss; Zitto apelekwa India kwa matibabu | Tanzania news - TheHabari - Blog Tanzania
 
Ivi tunaweza pata gharama za wote waliokwisha pelekwa India au siri?

Dili hilo aisii.
 
Mawaziri, wabunge wakizidiwa wanapelekwa India, mwananchi mlalahoi anaambiwa akajisikilizie nyumbani kwake, ujue hapo no other option!
 
I have a prophetic word for Zitto: Niliendelea na maombi tangu jana kwaajili yake sijui niwangapi waliitikia wito wangu wa kuungana nami kwaajili ya maombi ya makubaliano ambayo niliya post humu kwenye hii thread!

Sasa basi majibu ya Mungu ni haya;

Mark 14:1-7 After two days was the feast of the passover, and of unleavened bread: and the chief priests and the scribes sought how they might take him by craft, and put him to death. [SUP]2[/SUP]But they said, Not on the feast day, lest there be an uproar of the people.
[SUP]3[/SUP]And being in Bethany in the house of Simon the leper, as he sat at meat, there came a woman having an alabaster box of ointment of spikenard very precious; and she brake the box, and poured it on his head.
[SUP]4 [/SUP]And there were some that had indignation within themselves, and said, Why was this waste of the ointment made?

[SUP]5[/SUP]For it might have been sold for more than three hundred pence, and have been given to the poor. And they murmured against her.
[SUP]6[/SUP]And Jesus said, Let her alone; why trouble ye her? she hath wrought a good work on me.
[SUP]7[/SUP]For ye have the poor with you always, and whensoever ye will ye may do them good: but me ye have not always.

This special miracle to you (healing) is because at one time in your life regardless of what you always do in reference to your belief; saved/helped poor and needy people of our country. God says you are healed and from now on utaanza kupata relief ya ajabu. Hilo likitokea usiache kutoa sadaka yako kwa Mungu yaani kuifanya kazi ya kusaidia wanyonge naye atakuonyesha mambo mengi makubwa na magumu usiyo ya jua.

Please some one take this mesage to him. Tell him relax your problem is already solved spiritually bado tu manifestation to the physical world.

Glory be to Jesus my Lord and saviour and to our God Jehova Jire; the God who heals Amen!

Some would say how comes Jesus heals the one who is not his; as humanbeing sisi turahisi sana kuangalia mambo kibinadamu/selfish lakini Mungu ni zaidi ya intent zetu wandamu!
Man of God i have just joined you in PRAYER.
I Have experienced so MUCH POWER OF GOD as i was praying for Hon.Zito Kabwe,there is something planned against this young man BUT the living God still has a plan for you ZITTO regardless of your ways....
GOD is going to heal Mr.Zitto Kabwe and the heavenly God is going to revenge for your enemies because they are the enemies of our country.
I dont know why but i feel that God loves you ZITTO and has just healed you.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wamesema Zitto amekutwa na vijidudu 150 vya malaria. Is this humanly possible? Maana vidudu 5 tu vya malaria mtu wa kawaida yuko hoi bin taabani. Pia, toka lini mtu akapelekwa India kutibiwa MALARIA? Sijawahi kusikia tamthilia hii
 
Ni swali moja naomba nisieleweke vibaya. Serikali yetu haina dini na wala haiamini katika ushirikina. Lakini dini zipo na ushirikina upo na kubwa zaidi unaaminika na kutumiwa sana na hawa hawa wanasiasa wetu. Maswahiba ya kimazingara yanawapata sana Waheshimiwa wetu.

Swali: Viongozi wanapofadhiliwa na serikali katika matibabu nje ya nchi, huwa kuna fungu lolote linatolewa kujaribu tiba mbadala toka kwa waganga wa kienyeji? au huwa kunatolewa pia tiketi za masangoma kuwafuata India?
 
Wengi tumekuwa tukilalamika tabia iliyojitokeza hivi karibuni ya kuwatibu viongozi wetu nchini India. Siku za karibuni tumesikia Pro Mark Mwandosya, Dr Mwakyembe na sasa Dr Chami wako India matibabu. Huyu Dr Cheni nasikia alipelekwa India kwa sababu alikuwa tuu hajisikii vizuri. Vyombo vya habari vinatujuza kuwa Zitto amebainika kuwa na vijidudu 150 vya malaria ambavyo vimemfanya alazwe Kitengo cha Wagonjwa Wanaohitaji Uangalizi Maalumu (ICU), katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) (Zitto Kabwe akutwa na vijidudu 150 vya malaria).

Spika wa Bunge, Anne Makinda jana jioni aliwaambia waandishi wa habari hapo Muhimbili kwamba Zitto alikuwa akiendelea vizuri, lakini tatizo la kichwa kuuma lilikuwa bado linamsumbua. Makinda ambaye alienda kumjulia hali Zitto, alisema kutokana na tatizo hilo kuendelea, Ofisi ya Bunge inafanya taratibu ili apelekwe India kwa uchunguzi zaidi. Kuna habari kuwa Zitto yuko njiani kuelekea India kwa matibabu zaidi (https://www.jamiiforums.com/habari-...-airport-kupelekwa-inddia-kwa-matibabu-3.html).

Kama Raia Fulani alivyosema kwenye thread moja: “Hatukatai kuwa kwa kuwa ni viongozi ni lazima wapewe treatment ya hali ya juu. Tunajiuliza, hizi treatment tunazowapa (ni kodi zetu) zina tija gani kwetu sisi wananchi? Ni maamuzi gani wayafanyayo ambayo kweli tunaona wana haki ya kupata hizi huduma?” (https://www.jamiiforums.com/habari-...akitibiwa-nje-ni-nani-ataijenga-tanzania.html)

Hili la Zitto kupelekwa India kwa uchunguzi zaidi sijui limekaaje ikizingatiwa Zitto ni baadhi ya watu wachache sana ambao wamekuwa wakipinga matumizi ya mabaya ya serikali. Imefikia hatua mpaka Zitto amekuwa akirusdiha posho anazopewa kwa kuhudhuria vikao mbali mbali vya bunge na jimboni kwae. Kuna mdau mmoja ka comment kwenye site ya Mwananchi kuwa: "Tusiwaonee wivu wanaofanya kazi kubwa kwa nchi yetu pale wanapotibiwa kwa uangalizi zaidi. Kama nawe unataka kutibiwa nje hebu jijenge kuwa na umuhimu wa ziada kwa nchi yetu."

Kwa vile wengi tumekuwa tupinga tabia ya viongozi kwenda kutibiwa nje ya nchi, je na Zitto tutamweka kundi lipi? Ni ruksa nae kwenda kutibiwa nje?

Namtakia pole sana Mh Zitto na Mungu amsaidie apone mapema.
 
This disease will not kill you Zitto,is for God to glorify himself.
I pray you get healed soon in the MIGHTY NAME OF JESUS CHRIST...
All weapons set against you i render them powerless in the NAME OF JESUS CHRIST.
YOU ARE HEALED IN THE NAME OF JESUS.
AMEEEEEEEEN
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kuna laana mbaya sana inaendelea nchini humu hasa kwenye top management ya nchi. Yaani hata malaria mtu anaenda kutibiwa india, lol!
 
Ila jamani nchi inakoelekea nina hofu maana watu wengi magonjwa Yao hayaeleweki eleweki, huu urais Wa 2015 huuuuuu.....!!!!! Mbaya sana hiii
Leo mapema namna hii siasa zaidi kuliko Kazi na mtu anaamua kuitafuta ikulu kwa gharama zozote je hapo kuna uongozi kweli?

Tunarudi kuleee 2005, nani bora aaaah yuleee anapendwa sana tumpe tu chance, wewe Hana uwezo, NO CHAGUO LA MUNGU....
Mmmmh Leo hii huyu Mwizi aaaah, huyu muuaji aaaah , anamaamuzi....

Nyie maamuzi anayo ila hata ya gharama yoyote , aaaah ,,,
Nyie huyu anaweza kununua hadi wajumbe ilimradi tu adhma itimie, aaaah anamvi nzuri.... Nyieeeeeee WATANZANIA NYIEEE......
 

KabweZuberiZitto.jpg


The energetic young opposition MP Zitto Kabwe
Commonly and simply known as Zitto

GENERAL
SalutationHonourable
First Name: Kabwe
Middle Name: Zuberi
Last Name:Zitto
Member Type:
Constituent: Kigoma Kaskazini
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O.Box 325, Kigoma
Office Phone: +255 713 730 256
Ext.:
Office Fax: +255 22 2112538
Office E-mail: kzitto@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kigoma Primary SchoolPrimary Education19841990PRIMARY
Kigoma Secondary SchoolO-Level Education19911994SECONDARY
Kibohehe Secondary SchoolO-Level Education19941995SECONDARY
Galanos Secondary SchoolA-Level Education19961996HIGH SCHOOL
University of Dar es SalaamBA (Economics )19992003GRADUATE
Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of GermanyAdvanced Training on International Marketing20032004ADV DIPLOMA
Bucerius Law School, Germany MLB20092010MASTERS DEGREE
Tosamaganga Secondary SchoolA-Level Education19971998HIGH SCHOOL
Otto Beisheim School of Management, GermanyPhD2011NOT COMPLETED
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Ministry of Finance - PSU (NSA Support for Cotonou Agreement)Moderator2005
Ministry of Finance -Tanzania & Ministry of Trade & IndustriesEvent Manager2005
The Parliament of TanzaniaMember - Kigoma North2005Todate
IHK - Bonn & TIC-Tanzania (Business Mission to SIAL Pans)Project Manager20042004
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector, Campaigns and Elections2004Todate
Friedrich Ebert Foundation - FESProject Manager20042005
Tanzania Gender Network (TGNP)Training & Research Internship20022002
National Youth Forum (NYF)Programme Officer20002002
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
CHADEMADeputy Secretary General2007
CHADEMASecretary Parliamentary Group2006
CHADEMADirector Foreign Office2004
DARUSOSecretary General20022003
Tanzania Students Networking Programme (TSNP)Chief Executive Officer20012003
PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
MAONI!

(WAKUU mtujuze something is missing here. Mheshimiwa ameoa? au is it too personal!
Majoja wa Majoja)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom