Kingamkono
Member
- Nov 10, 2011
- 22
- 0
Bado tunaendelea kusisitiza Zito arudi kundini.
Ni ukweli kwamba Zito ananafasi kubwa sana katika siasa za nchi hii ila bado bado kuna sintofahamu ya ukweli kwamba Zito yupo wapi Katika hili gurudumu la mabadiliko ( ccm, ccm B, CDM, CDM B nk) nikiwa kama mdau wa mabadiliko na Kijana ambaye nataka mabadiliko ya kweli katika nchi hii kwa sasa ningehitaji Zito arudi kundini ( au atuthibitishishie yupo wapi na asituyumbishe) na akubali kwamba nchi inahitaji mabadiliko . Ni kweli kwamba kuna watanzaninia wengi wamewekekeza imani yao kwa Mh Zito, ila wasi wasi unaotutia Mh.Zito yupo upande gani?
Sitaki kudhibitisaha hilo ila nataka mkumbuke kwamba Zito amekuwa na nafasi kubwa sana kwa kipindi cha karibuni katika kuwasemea wanyonge hususani katika kuibua kashfa kem kem ndani ya nchi hiii..
Nnacho hitaji
1. Nataka Zito ashirikiane na wenzake wote wa CHADEMA katika kutekeleza falsafa nzima ya M4C na si kubaki kutekeleza zana hii kibinafsi AU KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WACHACHE nakutuacha wanachama kuwa na sintofahaamu ni kwa nini Zito hutomwona na baadhi ya viongozi fulani wa CDM hata siku moja katika mikutano hii.
2. Naamini kwamba wote tupo kenye harakati za za ukombozi ila si lazima tupitie njia moja lakini naamini msemo wa umoja ni NGUVU na utengano ni UDHAIFU.