Mh. Zito rudi Kundini!

Kingamkono

Member
Nov 10, 2011
22
0
Bado tunaendelea kusisitiza Zito arudi kundini.
Ni ukweli kwamba Zito ananafasi kubwa sana katika siasa za nchi hii ila bado bado kuna sintofahamu ya ukweli kwamba Zito yupo wapi Katika hili gurudumu la mabadiliko ( ccm, ccm B, CDM, CDM B……nk) nikiwa kama mdau wa mabadiliko na Kijana ambaye nataka mabadiliko ya kweli katika nchi hii kwa sasa ningehitaji Zito arudi kundini ( au atuthibitishishie yupo wapi na asituyumbishe) na akubali kwamba nchi inahitaji mabadiliko . Ni kweli kwamba kuna watanzaninia wengi wamewekekeza imani yao kwa Mh Zito, ila wasi wasi unaotutia Mh.Zito yupo upande gani?
Sitaki kudhibitisaha hilo… ila nataka mkumbuke kwamba Zito amekuwa na nafasi kubwa sana kwa kipindi cha karibuni katika kuwasemea wanyonge hususani katika kuibua kashfa kem kem ndani ya nchi hiii..
Nnacho hitaji…
1. Nataka Zito ashirikiane na wenzake wote wa CHADEMA katika kutekeleza falsafa nzima ya M4C na si kubaki kutekeleza zana hii kibinafsi AU KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WACHACHE nakutuacha wanachama kuwa na sintofahaamu ni kwa nini Zito hutomwona na baadhi ya viongozi fulani wa CDM hata siku moja katika mikutano hii.
2. Naamini kwamba wote tupo kenye harakati za za ukombozi ila si lazima tupitie njia moja lakini naamini msemo wa umoja ni NGUVU na utengano ni UDHAIFU.
 
Kingamkono Ndani ya Chadema kula WALAJI wengi na WAPIGANAJI wachache utengano lazima utajitokeza na usisahau sera ya ukabila
Zito analijua hilo hawezi kutamka bayana hadharani; wapo wapiganaji ndani ya Chadema kama Zito, Lissu na Msigwa wakiongea unapata hisia za kutaka watanzania waishi maisha mazuri lakini wengine ni kama Dr. Slaa na Mbowe wapo kwa maslahi binafsi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Zito kafumbwa mdomo na rafik yake january na muda si mrefu utasikia habar mpya, ni ulaji tu hapa.
 
chama Couldnt agree anymore .. U are absolutely right.. mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Kingamkono Hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi na Zitto Kabwe ana mengi akilini mwake hayamtoshi; kwahiyo haoni sababu ya

Umoja na wenzake wa Chadema; labda yeye mwenyewe ni Chama anashiriki kotekote;
 
Last edited by a moderator:
Am back again!baada ya ban lefu.zitto mwacheni afie ccm na unafiki wake ametuhujumu kwenye baajeti kivuli ya wizara ya fedha yeye pekee yake na kuwapa wakina chemba na ngereja cha kusema.
 
Zitto yuko mild and stable, kazi nzuri aliyoifanya yeye na wabunge wenzie wa Slaa, Mdee nk katika Bunge lililopita ndio chachu ya CHADEMA kufanya vizuri sana katika uchaguzi wa 2010. Hongera Zitto.
 
chama Nadhani umepotoka mzee au kama utaweza taja maslahi binafsi aliyokuwa nayo dr.Slaa au Mbowe na epuka chuki binafsi,kwa upende wa Zitto labda mi namuelewa tofauti zaidi jamaa anonekana km anautendaji zaid kuliko siasa watu hawa ni km Magufuli yupo kwenye siasa lakini yeye ni mtendaji zaid na si msemaji kazi yake itaonekana kwa output yake
 
Last edited by a moderator:
Unafiki wa Zitto wala usikukatishe tamaa, lert him go, CHADEMA Kwa sasa ni Zaidi ya ZItto, nasikia hataki JK awe anakosolewa hadharani.. Mnafiki zitto Go go go hatukuhitaji
 
CDM bila zitto ni mauti. Huyu peke yake ndio mwenye nia njema wengine wote ni njaa zimewapeleka huko.
 
Nadhani umepotoka mzee au kama utaweza taja maslahi binafsi aliyokuwa nayo dr.Slaa au Mbowe na epuka chuki binafsi,kwa upende wa Zitto labda mi namuelewa tofauti zaidi jamaa anonekana km anautendaji zaid kuliko siasa watu hawa ni km Magufuli yupo kwenye siasa lakini yeye ni mtendaji zaid na si msemaji kazi yake itaonekana kwa output yake

wewe tuliza akili yako unataka kusema mtalaka wa Dr. Slaa yupo bungeni kutokana na uwezo wa utendaji wake? Yeye Dr. Slaa aliposhinikiza alipwe mshahara wenye kulingana na wabunge alilifanya hilo kwa maslahi ya chama au maslahi yake binafsi? Na kitendo cha hawara yake kupewa tenda za chama ni kwa maslahi ya chama au binafsi? Angalia huo utatu mtakatifu halafu tafakari kwa kina. Tafadhali rekebisha usemi wako mimi ni kijana bado sijawa mzee!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom