kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,422
- 7,211
Hii nondo kali kweli; kwanza serikali wameshindwa kuhamia dodoma kwa kung'ang'ania dar-es-salaam eti ni jiji na kuna miradi yao binafsi. Maendeleo lazima kusambazwa kwa haki. Jiji lenyewe la dar liko shagalabagala mpango hakuna halafu wanaongeza viwanda. sasa sijui wanataka dar ioze maana sasa inanuka. ukipita mitaani unasikia harufu mbaya kila kona.