Content ya kwenye tamko lipo mwake.
Ila naomba haw ndugu zetu wajifunze jinsi ya kuandika speech.
Mikakati ya wanasiasa huwa inaishia miaka 5 ikiisha wanaomba mingine wamalizie mikakati yao.....heri tuwachague kusimamia mikakati ya kitaifa kuliko hizo sera zao za kisiasa zisizotekelezeka.....Hawa jamaa wana point.
Tunapopigania kila kitu kiwe Dar tunasahau miundo mbinu ya Dar ni mbovu! Barabara hazitoshi na msongamano mkubwa!
Tufue umeme Mtwara, tufanye mtwara uwe mji wa viwanda kama Unigereza walivyofanya Manchester jiji la uwekezaji.
Serikali iwe ina mikakati ya muda mrefu sio ya kukurupuka!
Kuzuia matatizo kama haya, serikali itabidi ibadilishe utaratibu, na iwe washirikisha wananchi katika maamuzi ya miradi yake yote.
Ushirikishwaji huu utaondoa mizozo hii kwa kiasi kikubwa.
Wanajadiliana kwanza ni namna gani wataingia....maana CCM Vs MSLM huwa inawapa taabu mno!
umeshasomeka. ni udini tu unakusumbua. some one told you, i'm doin the same. do not waste our gifted time.una matatizo ya akili wewe
nimepinga kuwenda na udini sijapinga shura wala sura
learn kujua watu wa humu JF wakoje na wana misimamo gani sio unakurupuka kwa kusoma post moja basi ukadhani unaelewa watu humu
I dont think it is appropriate kuingiza dini iwe yoyote ile kwasababu nchi ina sheria na taratibu zinazosimamia kanuni, kukimbilia kwa maaskofu, mashekhe nk kunaonyesha udhaifu mkubwa wa dola na serikali kwa ujumla kwenye either kuitafsiri katiba na miongozo iliyopo, au basi mfumo wetu ni isufficient ndio maana tunakimbilia kwenye dini
a good and strong government inafuata misingi iliyoandikwa sio kukimbia negotiation kila wakati
niambie (sijui una umri gani) ni wakati gani tanzania imekua na matamko ya viongozi wa (dini zote) kiasi hiki cha huyu Jamaa Kikwete???
there is a weakness and Pinda is just burring KJ alive because of his weaknesses and lack of stangth kwenye chochote kile zaidi ya kulia na kushangaa
tatizo la kuangalia mada kwa makengeza ndo hili, wajifunze nini sasa? wewe ulitaka wamung'unye maneno? we vipi bana. upo tofauti na wachangia mada wote. kweli kwenye msafara wa waumini na mtenda zambi si ajabu yupo.Content ya kwenye tamko lipo mwake.
Ila naomba haw ndugu zetu wajifunze jinsi ya kuandika speech.
Iling'olewa na serikali dhalimu ya ccm(tanu). afadhali hata ya mkoloni aliona umuhimu wa hiyo reli. mkuu yaelekea wewe umezaliwa siku za karibuni, na kwa bahati mbaya hawajaiweka hii ishu kwenye mitaala ya somo la historia. wanaona aibu, mungu awalipe kwa dhamira yao ovu juu ya watu waliokuwa wakiwaongoza, sorry I mean wakiwatawala.naomba niulize ukweli kuhusu railway ya Mtwara, je ni serikali ya kikoloni au ya uhuru iliyong'oa reli ile? naomba kujua ukweli kwenye hili...
kuna kitu kinaitwa economies of scale imagine in 1961 Tanganyika Government running three ports! for which exports at the time to necessitate three ports running if operation costs were not too high to not sustain their co-existence! try to think of that and put ur emotions aside...Iling'olewa na serikali dhalimu ya ccm(tanu). afadhali hata ya mkoloni aliona umuhimu wa hiyo reli. mkuu yaelekea wewe umezaliwa siku za karibuni, na kwa bahati mbaya hawajaiweka hii ishu kwenye mitaala ya somo la historia. wanaona aibu, mungu awalipe kwa dhamira yao ovu juu ya watu waliokuwa wakiwaongoza, sorry I mean wakiwatawala.
umeshasomeka. ni udini tu unakusumbua. some one told you, i'm doin the same. do not waste our gifted time.