Mh. Waziri, kagua vyeti vyote vya wafanyakazi wa NSSF

Kiukweli kwa kashfa inayoenea kwa kasi kuhusu HR wa NSSF na malalamiko ya watu mbalimbali ndani ya Dar na mikoani.

Naomba mh waziri kwa mamlaka uliopewa kukagua wafanyakazi wote wa NSSF na vyeti vyao kama ni halali na je elimu walionayo inaendana na position waliokuwepo.

Tafadhali mapema mh waziri kabla watu awajaibua kilio kwenye ofisi zako.
Na pia aangalie kama kuna vigezo vya udini vilitumika kuajiri
 
Hili Shirika litakuwa na idadi kubwa ya watumishi kuliko wachangiaji wa mfuko
 
Back
Top Bottom