Mh Sumaye achaguliwa kuwa mkurugenzi CRDB

Kwa iyo amechukua nafasi ya mr Martin,yule director of finance ppf au? Alaf sumaye anakuwa board chairman? Mi najua mwenyekiti wa bodi,au ndo iyo mkurugenzi wa board? Mkuu niweke sawa apo!

Mkuu sijui kama Martin Mmari ameacha ujumbe wa board. Ila nijuavyo PPF, IPP na Vyama vya Ushirika huwa wanakuwa na wajumbe kwenye boadi ya CRDB Plc kwa kuwa ni miongoni mwa wamiliki wakubwa. Sumaye ni miongoni mwa wamiliki wadogowadogo.
 
Mkuu sasa ambacho hukitaki hapo ni kipi ? Ninacho kuambia ndicho na mie ni mtu makini hapa JF kwenye thread zangu. Mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa (annual shareholders meeting) huchagua wakurugenzi wa kampuni (non executive directors) kwa njia ya kura ya siri. Kwa maana hiyo basi, Sumaye yeye amechaguliwa kuwa mkurugenzi ambapo atakuwa ni mjumbe wa bodi. Na sheria ya benki kuu inasema bodi ya wakurugenzi inatakiwa kuwa na watu wenye professional mbali mbali, sio lazima watu wenye elimu ya fedha tu. Soma na fuatilia mambo acha kukurupuka

Mkuu hapo kwenye red ndio panafanya watu wasikuelewe vizuri. Umelimit wakurugenzi to non-executive directors. But wakurugenzi wa any public company wanaweza kuwa executive directors and non-executive directors. Sumaye kama non executive director ataingia kwenye vikao vya bodi but he will not form part of the executive management team ya CRDB. Neither will he be an employee of CRDB or affiliated with it in any other way save for non-executive director.
 
Mkuu siamini kama hapa kuna mgongano wa kimaslahi. Yeye ni shareholder (kwa lugha nyepesi ni miongoni mwa wamiliki wa CRDB Plc) kwa hiyo ana haki ya kuangalia maslahi yake yaani umiliki wake. Mtu ni mmiliki wa kitu sasa kuna mgongano gani wa kimaslahi ukiwa kiongozi wa mali yako? Au hujui kama Sumaye ni miongoni mwa wamiliki wa CRDB Plc?


nashukuru Mkuu kwa taarifa...ila waona sawa kwa waziri mkuu mstaafu kwenda kugombea ukurugenzi wa benki?
 
nashukuru Mkuu kwa taarifa...ila waona sawa kwa waziri mkuu mstaafu kwenda kugombea ukurugenzi wa benki?

Hoja nzito hii. Huu ni utamaduni mpya ambao hatujauzoea sana hapa Tanzania. Uwaziri mkuu ni cheo cha juu sana kwa hiyo watu wanafikiri kuwa ukiwa mjumbe wa bodi unakuwa umeshuka sana. Mimi sioni tabu kwa kuwa anakuwa si mtendaji wa kila siku wa kampuni.

Sijui kama aligombea ama alipendekezwa. Lakini hii si mara ya kwanza kwa waziri mkuu mstaafu kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi. Ex-Pm Cleopa David Msuya ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa TBL ambayo pia ni Public Listed Company kama CRDB.

Kwenye soko huria wawekezaji huwa wanapenda wawe na watu influential kwenye bodi zao ili iwe rahisi kufanya Lobbying. Huu ni mwanzo tu tutaona wengi wakiwa ama wajumbe au wanyeviti wa bodi za wakurugenzi baada ya kutoka kwenye siasa. Kumbuka sakata la Spika Msekwa wakati alipokuwa spika na akawa Mwenyekiti wa Bodi ya VODACOM, mzee alibanwa hadi akatukana kwamba wanaomshambulia wana wivu wa kike!
 

Kuna tatizo gani Jamani Romance kwani haifa? na kama hafai ni kwasababu gani? labda itasaidia badala ya kuwatukana!


aaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! kama uko katika nchi hiiii na hujui kwa nini hawafai basi utakua mkimbizi tu.... Khaaaa!!! tutakua tunardia habari hio kila siku???
 
Nashukuru kwa kufafanua zaidi. Huenda nilieleza kwa haraka baada ya kuona wananchi wanashangaa sana kuona sumaye kuwa mkurugenzi CRDB. Labda niongezee hivi, kwakuwa TANZANIA tunafuata "OECD Corporate governance code" basi kwa executive employee ambaye pia anaingia kwenye board lazima jina lake lipitwishwe kwenye ANNUAL GENERAL MEETING pamoja na kuwa ameajiriwa kutpitia interview na board ya wakurugenzi waliokuwepo. Na pia wakati ukiisha wa mkurugenzi husika (mara nyingi board members wanakaa three years), wakurugenzi wote waliokuwa nominated kwa kipindi kinachofuata lazima wathibitishwe kwenye AGM. Utafiti unaonyesha kuwa mara nyingi wote waliokuwa nominated wanapata nafasi zao kwenye board husika.

Kwenye maelezo yako kuna sehemu uko sahihi na zingine hauko sahihi. Iko hivi , ni kweli kuna kuna aina mbili za wakurugenzi, ila executive directors hawachaguliwi na mkutano mkuu kwani wao ni waajiriwa na wanalipwa mishahara, wao huchaguliwa na bodi ya wakurugenzi ambayo inaundwa na non executive directors. Na hao non executive directors huchaguliwa na mkutano mkuu wa wanahisa, ambapo wao wanakuwa sio waajiriwa bali wanalipwa directors fees. Sasa Sumaye yeye ni Non executive directors !
 
Benki ya CRDB leo hii ilikuwa inafanya mkutano wake mkuu wa 16 huku Arusha katika ukumbi wa AICC. Katika kikao hicho, Mh. Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye alikuwa anagombea ukurungezi wa benki hiyo, ambapo wanahisa walimchagua kwa kwa asilimia 60%. Tunakupongeza Sumaye kwa kuchaguliwa kwako, sasa chapa kazi na usiingize siasa katika benki.
Sumaye alikuwa anatest zali kwa chaguzi za 2015, nadhan atafanya vizuri kote kote! Hongera sana mweshimiwa!
 
Sumaye anafaa kuwa Rais

- Mkuu fafanua zaidi ningependa kusikia hoja za kwa nini anafaa kuwa Rais, kwa sababu I have spend soem quite times na Mheshimiwa na I was impressed kwamba ni a serious man and a leader, lakini sikuelewa kwa nini media potray yake akiwa Waziri Mkuu haikuwa ina-reflect the man hapo ninapata utatanishi sana!

Willie @ NYC, USA.
 
manteam.gif
Mr. Charles .S. Kimei. Managing Director
Tel: 022-2133067 begin_of_the_skype_highlighting 022-2133067 end_of_the_skype_highlighting
email: cskimei@crdb.com

Mr. Jens Ole Pedersen - Deputy Managing Director
Tel: 022-2117448 begin_of_the_skype_highlighting 022-2117448 end_of_the_skype_highlighting
email: jopedersen@crdb.com

Mrs. Martina J. Lingowe. Director of Secretariat
Tel: 022-2114237 begin_of_the_skype_highlighting 022-2114237 end_of_the_skype_highlighting
email: dos@crdb.com

Mr. Beatus Segeja . Ag. Director of Finance and
Administration
Tel: 022-2113341 begin_of_the_skype_highlighting 022-2113341 end_of_the_skype_highlighting
email: dfa@crdb.com

Mr. Joseph O. Witts. Director of Retail Banking
Tel: 022-2114235 begin_of_the_skype_highlighting 022-2114235 end_of_the_skype_highlighting
email: drcm@crdb.com

Mr. Anderson Y. Mlabwa. Director of Credit
Tel: 022-2111745 begin_of_the_skype_highlighting 022-2111745 end_of_the_skype_highlighting
email: credit@crdb.com

Mr. Izengo D. Soka. Director of Internal Audit
Tel: 022-2136528 begin_of_the_skype_highlighting 022-2136528 end_of_the_skype_highlighting
email: dia@crdb.com

Mr. Simon Migangala. Director of Treasury
Tel: 022-2110768 begin_of_the_skype_highlighting 022-2110768 end_of_the_skype_highlighting
email: Treasury@crdb.com

Mr. Samuel Kamiti. Director of Operations
Tel: 022-2136527 begin_of_the_skype_highlighting 022-2136527 end_of_the_skype_highlighting
email: do@crdb.com

Ms. Victoria T. Chale. Director of Human Resources
Tel: 022-2122051 begin_of_the_skype_highlighting 022-2122051 end_of_the_skype_highlighting
email: dhr@crdb.com

Mr. Philip Alfred Director of Corporate Banking
Tel: 022-2137473 begin_of_the_skype_highlighting 022-2137473 end_of_the_skype_highlighting
email: dibic@crdb.com

Mr. Christian H. Zeuthen Danida Financial Advisor
Tel: 022-2117441-7
email: christian.zeuthen@crdb.com

Mr. John B. Rugambo. Director of Marketing and
Research
Tel: 022-2112113 begin_of_the_skype_highlighting 022-2112113 end_of_the_skype_highlighting
email: dmr@crdb.com

KACHUKUA NAFASI YA MTU ALIEFIKIA KUSTAAFU NA WALA SIO KIMEI..........SOME BODY JOACHIM
 
Mkurugenzi ni tofauti na mkurugenzi mtendaji, msije mkachanga mambo hapo. yeye anawakilisha wanahisa ili kuhakikisha maslahi yao yasimamiwa kikamilifu na waliokabodhiwa jukumu la kuiendesha benki ( akina Dr. Kimei na wenzake-crdb mgt).
 
manteam.gif
Mr. Charles .S. Kimei. Managing Director
Tel:022-2133067 begin_of_the_skype_highlighting 022-2133067 end_of_the_skype_highlighting
email: cskimei@crdb.com

Mr. Jens Ole Pedersen - Deputy Managing Director
Tel:022-2117448 begin_of_the_skype_highlighting 022-2117448 end_of_the_skype_highlighting
email:jopedersen@crdb.com

Mrs. Martina J. Lingowe. Director of Secretariat
Tel:022-2114237 begin_of_the_skype_highlighting 022-2114237 end_of_the_skype_highlighting
email: dos@crdb.com

Mr. Beatus Segeja . Ag. Director of Finance and
Administration
Tel:022-2113341 begin_of_the_skype_highlighting 022-2113341 end_of_the_skype_highlighting
email: dfa@crdb.com

Mr. Joseph O. Witts. Director of Retail Banking
Tel:022-2114235 begin_of_the_skype_highlighting 022-2114235 end_of_the_skype_highlighting
email: drcm@crdb.com

Mr. Anderson Y. Mlabwa. Director of Credit
Tel:022-2111745 begin_of_the_skype_highlighting 022-2111745 end_of_the_skype_highlighting
email: credit@crdb.com

Mr. Izengo D. Soka. Director of Internal Audit
Tel:022-2136528 begin_of_the_skype_highlighting 022-2136528 end_of_the_skype_highlighting
email: dia@crdb.com

Mr. Simon Migangala. Director of Treasury
Tel:022-2110768 begin_of_the_skype_highlighting 022-2110768 end_of_the_skype_highlighting
email: Treasury@crdb.com

Mr. Samuel Kamiti. Director of Operations
Tel:022-2136527 begin_of_the_skype_highlighting 022-2136527 end_of_the_skype_highlighting
email: do@crdb.com

Ms. Victoria T. Chale. Director of Human Resources
Tel:022-2122051 begin_of_the_skype_highlighting 022-2122051 end_of_the_skype_highlighting
email: dhr@crdb.com

Mr. Philip Alfred Director of Corporate Banking
Tel:022-2137473 begin_of_the_skype_highlighting 022-2137473 end_of_the_skype_highlighting
email: dibic@crdb.com

Mr. Christian H. Zeuthen Danida Financial Advisor
Tel:022-2117441-7
email: christian.zeuthen@crdb.com

Mr. John B. Rugambo. Director of Marketing and
Research
Tel:022-2112113 begin_of_the_skype_highlighting 022-2112113 end_of_the_skype_highlighting
email:dmr@crdb.com

KACHUKUA NAFASI YA MTU ALIEFIKIA KUSTAAFU NA WALA SIO KIMEI..........SOME BODY JOACHIM

Mkuu hii huenda ni ya zamani kwa kuwa nina hakika huyo mwenye red hayupo tena.
 
Sumai amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi na si kuwa mkurugenzi wa CRDB. Mkurugenzi wa CRDB ni Kimei.
 
- Mkuu fafanua zaidi ningependa kusikia hoja za kwa nini anafaa kuwa Rais, kwa sababu I have spend soem quite times na Mheshimiwa na I was impressed kwamba ni a serious man and a leader, lakini sikuelewa kwa nini media potray yake akiwa Waziri Mkuu haikuwa ina-reflect the man hapo ninapata utatanishi sana!

Willie @ NYC, USA.

Mkuu labda nami nitoe maoni yangu hapa kwa kuwa naamini kuwa Sumaye naye pia anafaa kuwa Rais. Napata imani yangiu kutokana na performance ya serikali ya awamu ya tatu. Nadhani watu wengi tunakubaliana kuwa performance ya awamu ya tatu ilikuwa nzuri, uchumi uliimarika sana, inflation ilishuka sana na mambo mengine kama hayo. Mafanikio haya yalitokana na uongozi thabiti wa the two principals; Mkapa na Sumaye ambaye kwa miaka kumi alisimamia serikali akiwa PM. Mafanikio yoyote ya awamu ya tatu ni lazima yahusishwe na Sumaye kama tunataka kumtendea haki. Pili sijasikia shutuma zenye mashiko kuwa Sumaye ni fisadi. Kulikuwa na shutuma za kukopa Million 500 PPF,; hazikuwa na mashiko sana na shutuma zingine za ardhi huko Morogoro nazo sioni mashiko yake.

Kuhusu vyombo vya habari sina comment sana labda hakuwa tu rafiki wa vyombo vya habari alikuwa akitekeleza majukumu yake kimyakimya.
 
Back
Top Bottom