Mh. Rais, sasa ni zamu ya watumishi wako

Kwa nyakati tofauti, tumeshuhudia upendo wa Mh. Rais kwa wananchi wake akiwazawadia mihela kama yote.
Kila ziara amekuwa akigawa pesa kwa wananchi wenye matatizo mbalimbali ya kiuchumi.
Mfano, ni pale muhimbili aliwasaidia wahanga wa moto laki 5 kila mmoja.
Madaktari na nesi pia aliwapa chochote.
Pia kila ziara amemwaga pesa, Tanzania ni nchi tajiri kama asemavyo yeye.
Sasa ni zamu ya watumishi wa umma wote kuboreshewa mishahara yao. Maana toka 2015, waliorekebishiwa madaraja hata robo hawafiki.
Wengi wamepewa barua tu za kupanda madaraja, ila no. Mabadiliko ktk mishahara yao.
Pia, kuhusu kubadili muundo wa salary bado kimya, au wangoje hadi Yesu arudi kwa mara ya 2?
Rais wetu inaonekana una huruma sana, basi hiyo huruma pia iwafikie na wanao ambao ni watumishi wa umma.
Wanalia sana huku mtaani pia wanadharauliwa kinyama.
Wape furaha ya kweli watumishi wako.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.

#ova
Tutoleeni upuuzi wenu. Kila kukicha mnakwiba, hiyo hela ya maboresho inatoka wapi?
 
Sidhani kama ana faida yoyote ile kwa watumishi wa umma. Hivyo afanye tu anavyotaka, maana wenye akili timamu tulishamdharau kitambo. Kiufupi, he is good for nothing.

Awashukuru sana policcm, ile tume yake ya uchaguzi na baadhi ya wanasiasa mamluki na vigeugeu.
Asingeyaamini matokeo kwenye huo uchaguzi mkuu ujao.
 
Huna lolote wewe!
 
HE IS GOOD FOR NOTHING! Amejigeuza kuwa Papaa Msofe! Ni mwendo wa kutembea tu na maburungutu ya hela ambazo zinazotokana na dhuluma dhidi ya wafanyakazi na makundi mengine ya walipa kodi wa nchi hii!
Sasa wewe kwanini lakini uliforge cheti? Ndiyo maana wamekutumbua kasome mkuu acha ubabaishaji.
 
Mwaka kesho mishahara itapanda kwa 50% ,baada ya ujenzi na kupindua meza ya uchaguzi mapema ,kura za wafanyakazi na families zao ni muhimu na bila kuongeza mishahara ngoma itakuwa ngumu

Kwa hali ilivyo hata kama wewe ungekuwa kichaa wa kuokota makopo lazima mwakani ungepandisha mshahara kabla ya uchaguzi
 
Sasa wewe kwanini lakini uliforge cheti? Ndiyo maana wamekutumbua kasome mkuu acha ubabaishaji.

Kati ya mimi na bosi wako nani aliyefoji vyeti? Nani mwenye elimu ya kuungaunga? Nendeni mkafie mbali nyinyi malimbukeni na washamba wa madaraka. Mnaturudisha tu nyuma kimaendeleo kwa kundekeza sifa zenu za kijinga.
 
Kama umesoma mbona unaongozwa na hao unaosema hawakusoma na ni washamba? Sasa hapo nani mjinga? Inaonekana elimu yako haikusaidii sana!
 
Kama umesoma mbona unaongozwa na hao unaosema hawakusoma na ni washamba? Sasa hapo nani mjinga? Inaonekana elimu yako haikusaidii sana!

Mimi naongozwa na serikali ya kichwa changu. Na siyo hao washamba na malimbukeni unaowategemea wewe.
 
Back
Top Bottom