Mh Rais, kuna FAILI liko mezani kwanini Unaliruka? (PART TWO)

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Wana bodi wenzangu IGWEEEEEE!

Binafsi sijambo,nina endelea kuomba radhi sanaa katika uandishi wangu najua unatatizo kidgo ila naomba msome na kuelewa kile ninachokikusudia mambo mengine tutalekebisha pole pole!

Mh Rais, uniwie radhi sanaa, jumapili ya leo nikiwa nimepumzika nimejiwa na ndoto,ndoto hii imenijia saa kumi na mbili na nusu kumepanzuka.

MH Rais nmeoneshwa wewe ukiwa ofisini kwako, nimeoneshwa ukiwa mnyonge ambaye umekunja uso uku ukiyatazama MAFAILI YALIYOJAA MEZANI.

Mh Rais,ndoto yangu imeendelea kunionesha ukiwa unafunua MAFAILI MBALIMBALI,HUKU ukiwa unafyonya fyonya.

Nilipokugolea KUNA faili moja ukalifunua nusu,ukaliweka chini,nalo nimeisha lisema kupitia PARTY ONE yangu si jingine ni lire la fedha za wahisani zilizokuja kunusuru viwanda vyetu vilivyoathirika na dodoko la uchumi la Taifa,fedha zile zilipigwa na wajanja tu.

Kwa mbali nikakuona umegusa Faili jingine la KIJANI ili ni FAILI AMBALO lina ORODHA YA VYAMA VYA USHIRIKA AMBAVYO VILIPEWA FEDHA ZA MIKOPO NA VYAMA HIVYO NI HEWA HAVIKO TENA WATU WALIUNDA VYAMA ILI WAPIGE FEDHA NA BAADA YA MABILIONI YA JAKAYA KUINGIA VYAMA HIVYO HAVIKO TENA NA MABILIONI YAMEYEYUKA.

Faili hili bahati nzuri aliyekuwa Waziri wa Kilimo, mzee wetu Stivini Wasira analijua vyema kwani alikuwa miongoni mwa waliosajili vyama hivi, baadae fedha zilivyoingia yeye akiwa waziri wa kilimo kila mwaka alikuwa akija na bajeti ya kulipa madeni ya vyama hivyo huku akijua ni vyama hewa!

Mabilioni yalipigwa, na bado wizara zikiendelea kulipa madeni hewa kupitia vyama hivyo.

Mh Rais, najua faili hili na wewe ukiwa waziri Mh stivin Wasira mulihudumu nae kwa hiyo hilo Faili unalijua. Ndoto yangu inanionesha kila ukitaka kulifunua unaliruka.

Tafadhali TAJA VYAMA HIVYO HEWA VILIVYOKULA HIZO FEDHA ILI WATANZANIA TUVIJUE MAANA WALIOVIANZISHA TUNAISHI NAO HUKU USWAHILINI KILA SIKU WANATUMWAGIA MAJI NA MAGARI YAO KUMBE NI FEDHA ZA UMMA PASPO KUJALI RANGI. TAFADHALI FUNUA HILO FAILI!

MIMI NI sifileo
Kutoka Ntwara
Nkulima wa korosho.
 
Leo pazito

Nawahi seat
 
endelea kumkumbusha ajue kuwa kuna watu wanayajua hayo mafaili. siku akiwa anajigamba kuwa yeye ni "mzalendo" ajue kuna wana wanamchora tu hapo jukwaani lakini wanajua limit ya "uzalendo" wake.
Shida ni akianza kuwashughulikia watakuja viumbe toka ufipa na dots zao uchwara na kusema ni chuki na visasi. Hii nchi kuiongoza ni ngumu sana.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Faili lolote lenye majina ya makada wa CCM huwa haliguswi na hata likiguswa inapigwa ile mupe muruke, siunaona IPTL ilivyopigwa mupe muruke.... Vita ya ufisadi ni dhidi ya watendaji wa serikali wasio makada, au sio waumini wa dini yetu ya CCM..

CCM ni dini, mlioko huko mnajidanganya na Uislam na Ukristo wenu..
 
Sifi Leo, unasema upo Mtwara, kwani umetoka lini kijijini Igabiro kwa kina Nshomile? Naona leo umemuamulia Mkulu, lakini angalia huo mwandiko wako, pamoja na kulaza maandishi kushoto ili ufanane na wa mwanamke lakini kuna elements fulani fulani zinaweza kukufanya ushtukiwe...
Bishop Hiluka;ndgu mtwara naweza nikaishi maana ni Tanzania ila huko igabiro naweza zaliwa sasa naogopa kusema nmezaliwa igabiro maana unaweza ongoza kamati ya maandamano kuwa mm sio raia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
:D:D:D kwa Tanzania lolote linaweza kutokea... Hata hivyo, muokotee faili Mkulu na umkumbushe kuwa lina muda mrefu hapo ofisini, hivyo alitupie macho...
 
Back
Top Bottom