Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Wadau mi nauliza tu, kila siku nikisoma news nakutana na Mh. Pinda mara anazindua barabara mpanda, juzi kati ya mikoa yote mipya iliyoanzishwa ni mkoa wa Katavi pekee uliopatiwa fungu, CRDB walipofungua tawi ikageuka kuwa hafla ya kitaifa badala ya kibiashara, Kuna mashamba flani hivi na uwekezaji flani siukumbuki vizuri, nimeona wanajenga uwanja wa ndege wa kutua boeng na unakamilika kabla ya 2013. Nikiangalia hata kama Rukwa ni mkoa uliokua umeachwa nyuma mwenzetu kasi yake mhh, Sasa kila kila kitu kikienda Rukwa, lindi, singida na kwingineko ambao hawana mawaziri wakuu itakuwaje? hii precedent inayosetiwa mi naiona haijatulia, upendeleo wa dhahiri sana mtoto wa mkulima.