Mh Pinda Acha Uoga!

Liwalo na liwe sasa limekuwa imekula kwake! Anakimbia kivuli chake.
 
Anaogopa asije akachemka tena kwani kauli zake zimekuwa zikuzua mambo kuonyesha hayuko makini katika kutoa matamko
 
Hawa watoto wawakulima sio kabisa. Nakumbuka mwaka 2008 pale Tumaini Uni Iringa tukafanya makosa tukamchagua mtoto wamkulima kuwa president tukamwacha mwenye pesa zake mwisho wasiku ikawa majuto ni mjukuu maana mtoto wamkulima aliweka hadi gym nyumbani kwake kwakutumia pesa ya wanachuo. Don't trust mtoto wa mkulima anymore!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hata mimi nashangaa huyu bwna waziri mkuu hasa kwa kupenda kukimbia mbunge kila alhamisi sijui huwa anafikiria nini nashauri anaye kaimu naye aulizwe maswali ya papo kwa papo ili tuone itakuwaje na kama ataweza tunapendekeza awe waziri mkuu
 
Rais huwa anakimbilia nje ya nchi na waziri mkuu anakimbilia mkoani. speaker nae anakimbia kazi na kumwacha naibu wake au mwenyekiti.. hii nchi kila mtu anakimbia cheo chake
 
Sioni hata tija ya yale maswali maana majibu yake ni ya kisanii tu(Serikali tumejipanga,mchakato unaendelea,hata mimi nimelisikia, tunalifanyia kazi na upuuzi mwingine mwingi)
 
nafikiri bora lowassa kuliko hili lijamaa nafiki

wabongo hamridhiki na hamna shukurani kabisaaa! leo mtu kafanya kiuhalifu kidogo cha kuropoka, maybe na kudanganya danganya kidogo tu ashaoneka hafai kuliko mtu mwenye SHUTUMA NZITO. Nimeamini HERI UTUFUNGULI BARABA ILA MSULUBISHE MNAZARETI!!!!!

Mtoto wa mkulima hata ufanyaje hakuna ateonekana MSAFI
 
Back
Top Bottom