mh mwigulu aiharibia CCM

JUDITH MGASSE

Member
Jun 5, 2012
17
4
Jana Bunge liliboa sana hasa huyu mheshimiwa kuonesha upendeleo wa waziwazi! mh Manyanya kaizungumzia hoja ambayo iko mahakamani ingekua ni upande mwingine ungesikia hoja iko mahakamani! ila sisi kama wananchi mwigulu umeiaibisha CCm kwa kuonesha kushindwa kwa hoja na hivyo kukitumia kiti kidikteta hata mimi ambaye sina itikadi zozote za kichama nilikasirishwa jana!
 
Leo nimemuaona (bila kumsikia) akitoka mapovu kwenye TV ya dukani...........sijui alikuwa anawaka nini!
 
Jana Bunge liliboa sana hasa huyu mheshimiwa kuonesha upendeleo wa waziwazi! mh Manyanya kaizungumzia hoja ambayo iko mahakamani ingekua ni upande mwingine ungesikia hoja iko mahakamani! ila sisi kama wananchi mwigulu umeiaibisha CCm kwa kuonesha kushindwa kwa hoja na hivyo kukitumia kiti kidikteta hata mimi ambaye sina itikadi zozote za kichama nilikasirishwa jana!

Ambaye hana itikadi yoyote hawezi kuchangia kama ulivyoanza, umesema jana mheshimiwa alipendelea wazi wazi ni dhahiri una upande fulani ambao uliona umeonewa na ndiyo huko uliko. Acha wale tusio na upande wowote tuangalie bunge ili tujue ukweli wa mambo yanavyokwenda kwani vyama vya upinzani vilijisahahu vikafikiri vyenyewe havina makosa pale ambapo wenzao wa CCM walipokaa kimya, sasa wamemua kujibu mapigo wanaruka sarakasi.
Kumbe Wanzania wanakufa kwa kukosa matibabu kisa siasa bwana.
 
Ndani ya kipindi kinachoendelea katika TBC1 - This week in perspective lead by Simbeye. Wachangiaji wanasema This Generation is Facebook Generation so even our PMs especially CCM - PMs are Facebook MPs:wacko:
 
Falling kingdom i.e CCM ,, viongozi wasiokuwa na foresight kama akina Mchemba hatimaye ndo watashikwa uchawi wakati chama kitakapokuwa kimeangushwa 2015. Atakuwa answerable kwa kila ujinga na ufidhuli wa Chama hapa namfananisha na wale waliokuwa karibu na Gaddafi ambao walijidanganya kuwa bado Gaddafi alikuwa rais wakati nchi nzima ikiwa mikononi mwa waasi na hivyo wakafa siku aliyokufa Gaddafi kwa sababu tu ya ujinga wao.
 
mwigulu yupo bungeni kutafuta chadema wamekosea nini na wapi,hana hoja zaidi ya kurusha vijembe
 
Mwigulu ni kama mwalimu wa lugha, kazi yake kusahihisha spelling za hotuba za cdm, lakini hata ccm wakikosea safu nzima kazi yake kubebe mbeleko
 
Falling kingdom i.e CCM ,, viongozi wasiokuwa na foresight kama akina Mchemba hatimaye ndo watashikwa uchawi wakati chama kitakapokuwa kimeangushwa 2015. Atakuwa answerable kwa kila ujinga na ufidhuli wa Chama hapa namfananisha na wale waliokuwa karibu na Gaddafi ambao walijidanganya kuwa bado Gaddafi alikuwa rais wakati nchi nzima ikiwa mikononi mwa waasi na hivyo wakafa siku aliyokufa Gaddafi kwa sababu tu ya ujinga wao.

wabunge wa ccm nimeamini hawajui wanakuwa bungeni kuchangia nini kwenye bajeti maana kila anaeamka anasema chadema wabaya,sasa ubaya na uzuri wa chadema unahusiana na nini kwenye bajeti?ibariki bunge
 
Ambaye hana itikadi yoyote hawezi kuchangia kama ulivyoanza, umesema jana mheshimiwa alipendelea wazi wazi ni dhahiri una upande fulani ambao uliona umeonewa na ndiyo huko uliko. Acha wale tusio na upande wowote tuangalie bunge ili tujue ukweli wa mambo yanavyokwenda kwani vyama vya upinzani vilijisahahu vikafikiri vyenyewe havina makosa pale ambapo wenzao wa CCM walipokaa kimya, sasa wamemua kujibu mapigo wanaruka sarakasi.
Kumbe Wanzania wanakufa kwa kukosa matibabu kisa siasa bwana.

hivi waamuzi wa michezo huwa wanashabikia upande gani?....ukiweza kujibu hili swali kwa ufasaha bila shaka utamuelewa mleta mada
 
Mwigulu ana hitaji ushauri kutoka kwa wazee wa dares-salaam lasivyo atachanganyikiwa!
 
wabunge wa ccm nimeamini hawajui wanakuwa bungeni kuchangia nini kwenye bajeti maana kila anaeamka anasema chadema wabaya,sasa ubaya na uzuri wa chadema unahusiana na nini kwenye bajeti?ibariki bunge

Ubaya wa chadema kwa CCM ni kwamba inaonekama kuipora madaraka CCM. Lazima ccm waione chadema mbaya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom