Mh. Mkosamali: This week in perspective

Nataizama hiki kipindi cha TBC 1 " This Week In perspective" kipindi ambacho kinaendeshwa kwa Lugha ya Kigeni.

Mara nyingi nimeona Dr. Azaveli Lweitama wa UDSM ni mhudhuliaji mzuri sana. Leo yupopia Mhe. FELIX MKOSAMALI (MBUNGE WA MUHAMBWE - (NCCR-MAGEUZI).

Jinsi huyu Mhe. Mkosamali anavyofafanua mambo inaonekana shida kubwa kwake ni hi lugha ya Kigeni.Upeo wake katika siasa yaonyesha ni mzuri kiasi,lakini lugha inasumbua katika uwasilishaji wa hoja zake.
 
Anatumia nguvu sana kuongea, na analazimika kutumia gestures sana ili kusaidia uwasilishaji wa anachowaza!
Lugha ni shida sana kibongobongo!
 
Hii lugha ya kigeni ni noma kwa siye tuliosomea chini ya miti kwa kina kayumba
 
Na hicho kipindi kwanini kinang'ang'ania kiingereza,naikumbuka jenerali on monday..ilikua inaenda na move!sio kina Hamza Kasongo na hii,watazamaji wanaojua english ni wachache sana,jamaa wakuwa na mada nzuri lakini haziwafikii walio wengi kisa lugh gongana!
 
Kiingereza ni lugha ambayo ina allergy na ngozi nyeusi. Mtu kama JK pamoja na kufanya kazi Mambo ya Nje kwa miaka zaidi ya mitano aliwahi kuambiwa 'Happy Birthday' akajibu 'the same to you'. Lowassa naye kwenye YouTube anasema 'If I will be elected the president, my first priority will be to improve poverty.' Raila Odinga naye alishawahi kusema 'Ladies and gentlemen, welcome to the dancing floor'
 
Na hicho kipindi kwanini kinang'ang'ania kiingereza,naikumbuka jenerali on monday..ilikua inaenda na move!sio kina Hamza Kasongo na hii,watazamaji wanaojua english ni wachache sana,jamaa wakuwa na mada nzuri lakini haziwafikii walio wengi kisa lugh gongana!

Ni kweli mkuu hii lugha inawafanya wasichambue inavyostahili. Kwani TBC 1 watazamaji wake walio wengi wanajua kiinglishi ndio waendeshe kipindi kwa lugha hiyo. Maana huyu mkosamali anapata taabu kudescribe mambo
 
Kiingereza ni lugha ambayo ina allergy na ngozi nyeusi. Mtu kama JK pamoja na kufanya kazi Mambo ya Nje kwa miaka zaidi ya mitano aliwahi kuambiwa 'Happy Birthday' akajibu 'the same to you'. Lowassa naye kwenye YouTube anasema 'If I will be elected the president, my first priority will be to improve poverty.' Raila Odinga naye alishawahi kusema 'Ladies and genlemen, welcome to the dancing floor'

Aisee nimecheka sana hawa ni macommedian kweli
 
Anatumia nguvu sana kuongea, na analazimika kutumia gestures sana ili kusaidia uwasilishaji wa anachowaza!
Lugha ni shida sana kibongobongo!
Inaonyesha ata alipokuwa chuo/shule alikuwa aongei kingereza mara kwa mara.
 
Nyie mnaoponda wenzenu ukute hamjui na hata kama mnajua kiingereza hamna substance ndani ya mnachoongea!
 
True, Mkosamali said in his own statement "between all MP....." oohh God, & he seems forcing words out haaaaardly, looking the roofs, left, right... imagine this is MP sent to Bunge to come up with bills, to discuss them & become laws....
 
Muhimu ni kwamba tunamuelewa. Kiingereza ni lugha watu wakuu. Ushawahi kuongea kiingereza na mchina?

Entirely irrelevant excuse. If they are not conversant with English, why humbling themselves in that way? It is better off they refuse invitation instead of exposing their little famililiarity with English which ends them up in such humiliation.
 
Anatumia nguvu sana kuongea, na analazimika kutumia gestures sana ili kusaidia uwasilishaji wa anachowaza!
Lugha ni shida sana kibongobongo!

Mikataba yote huwa kwa kimombo. Si ajabu nchi kuliwa mchana kweupeeeeeee! Watatunga vipi sheria kwa lugha wasioijua??
 
Nyie mnaoponda wenzenu ukute hamjui na hata kama mnajua kiingereza hamna substance ndani ya mnachoongea!

Hapana hatupond kwa sababu na sisi tunajua kuwa hii lugha sio yetu. Lakini tulio wengi watanzania tunashindwa kuelezea mambo kwa kutumia lugha hii na hivyo kukosa mawazo na uchambuzi ulio mzuri.
Kama ulishaangalia lile tangazo la mwanafunzi anashindwa kuelezea nini maana ya global warming kwa kiinglishi lakini mwalimu alipomruhusu kwa kiswahili, yule mwanafunzi alieleza vizuri na akaeleweka vizuri.
 
Lugha gongana! Dah! Uhishimiwa kazi kweli kweli.....lakini c mnaelewa anachozungumza?! Hiyo ndio point ya msingi, kwani kazaliwa Ulaya yeye. Mbona J. Magamba aliwahi kuhojiwa Tbc nyuma kuna bonge la shelfu limejaa vitabu, ova Obama. Full kuiga, wacha na aliyekosa mali asafishe kidogo kwani hata hivyo mnaoshtukia Ni wachache, wapiga kura wake Huko roho zao Leo kwatuuuu....wamechagua mhishimiwa sana ung'eng'e availebo.
 
Back
Top Bottom