Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,434
- 1,765
Huyo Slaa naye hamna kitu hapo! Eti kila swali analoulizwa lazima aimbe Mwanakijijiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...Sijui ndiyo mbinu yake ya kukusanya maneno ya kiingereza ubongoni.
Ndio maana "Mbowe na Slaa" huwezi kuwaona kwenye sessions kama hizi...
Ni aibu sana kuwasikiliza...
kiingereza ni lugha ambayo ina allergy na ngozi nyeusi. Mtu kama jk pamoja na kufanya kazi mambo ya nje kwa miaka zaidi ya mitano aliwahi kuambiwa 'happy birthday' akajibu 'the same to you'. Lowassa naye kwenye youtube anasema 'if i will be elected the president, my first priority will be to improve poverty.' raila odinga naye alishawahi kusema 'ladies and gentlemen, welcome to the dancing floor'
Inaonyesha ata alipokuwa chuo/shule alikuwa aongei kingereza mara kwa mara.
This is not from an intellectual! Move with the floor if you can Idi.ot
haaaaaa!!! huyu Felix Mkosamali English yake was so nearly to being rubbish, hapa ndipo unapoona kuwa we're really have gotten into problems at international languages proficiency. Mimi huwa napata sana shida kusikiliza mtu mwenye hadhi kama ya ubunge anapozungumza kwa lugha ya kigeni halafu anababaika kuelezea jambo ambalo wakati fulani huwa ni very pointing, hii ndiyo hali halisi ya walimu wanavyofundisha watoto wetu huko mashuleni (without prejudice). Again, naona huruma kuona tunavyopasua vijipu vya kidhungu kiubishi, nikiona hivyo...i always either change to another channel or switch off the tv. Nimetazama hicho kipindi then baada ya kuona style ya uzungumzaji nikajitoa ktk kuwa mtazamaji wa kipindi.
Really? Nimesikiliza hiyo clip mbona iko pouwa sana!
Hebu tuwekee yako tukupime na wewe Mkuu
Hana tatizo, Kiingereza chake imetulia..sana fuatilia..
Mbowe na Slaa ..thubutu..hawatakai washiriki hizo sessions english mgogoro
Yangu ya nini..mimi muuza duka..karikoo
Hii english ya Slaa iko shallowa sana, tatizo ni interviewer mwenyewe ...i guess
Tupeni clips za mbowe tafadhali..lol
Full uswahili! Andika ile lugha kwenda shoto
Yangu ya nini..mimi muuza duka..karikoo
Hii english ya Slaa iko shallowa sana, tatizo ni interviewer mwenyewe ...i guess
Tupeni clips za mbowe tafadhali..lol
I think it is wise if you give it a shit...your condemnations have proved futile. This is the most backdrop affecting most us Tanzanians especially you. You keep maintaining negative altitudes to people and whatever they are coming out with, to you it is stupidity. Is it not wise to look for positivity and tell them to work on the negativity?
Kiingereza ni lugha ambayo ina allergy na ngozi nyeusi. Mtu kama JK pamoja na kufanya kazi Mambo ya Nje kwa miaka zaidi ya mitano aliwahi kuambiwa 'Happy Birthday' akajibu 'the same to you'. Lowassa naye kwenye YouTube anasema 'If I will be elected the president, my first priority will be to improve poverty.' Raila Odinga naye alishawahi kusema 'Ladies and gentlemen, welcome to the dancing floor'
Entirely irrelevant excuse. If they are not conversant with English, why humbling themselves in that way? It is better off they refuse invitation instead of exposing their little famililiarity with English which ends them up in such humiliation.
Inaonyesha ata alipokuwa chuo/shule alikuwa aongei kingereza mara kwa mara.