Mh. Lukuvi atangaza nia kuelekea safari ya uhakka

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
mh. Lukuvi leo hii ametia tia kuelekea safari ya uhakika kwa nafasi ambayo ni size yake na anayoweza kuimudu akiwa huko kigamboni leo hii,
mh. Lukuvi alitia nia wakati akiwa awahutubia wanakigaboni katika mkutano wa hadhara uliofanyika huko kigamboni leo hii na kuhudhuriwa na mamia ya wanakigamboni, hakika mkutano huo ulifana kwa wanachi kupata kile walichokipigania kwa muda wa takribani miaka saba juu ya hatima yao kuhusu mradi wa mji mpya wa kigamboni

2015-05-31_14-28-40_89.jpg
2015-05-31_14-43-42_948.jpg
 
katia nia ya kuwa raisi wa kigamboni au nia kuwa muuza viwanja vya kigamboni? kwanza kwenye post yako umesema ametia tia; je anatia kitu gani huyu?
 
Anhaaaa! So, anagombea UBUNGE huko Kigamboni? Safi sana. Nna habari kuwa huko kwao iringa HAKUBALIKI! Anahenya kuonesha namna ya kulipata Jimbola ismani alilolipata kwa HILA ya kumhonga mgombea wa upinzani akajitoa. Kwa miaka 5 sasa amekuwa hapati usingizi sababu ya CHIKU ABWAO. Aliamua kuikimbia Isimani ya upande wa magharibi. Habari nilizonazo toka iringa ni kuwa ameshawishi Jimbo hilo (ambalo si Wilaya kamili), ligawanywe ili Tarafa za Mashariki, ikiwemo Idodi ambapo ni kwao, ziunde Jombo kamili. Lakini na huko yuko ndugu Sosopi. Hapa anaona maji yako shingoni. So, kaamua kwenda Kigamboni? Mwaka huu titaona mengi.......walizoea vya kunyonga...vya kuchinja hawawezi...
Ushauri wangu kwa Lukuvi...awaage Wabunge wenzake kuwa hawataonana tena Oktoba
 
Kikamboni? Ameenda kuangalia mashamba yake? Maana karibu mawaziri wote wa ardhi walijipatia kitu huko, including mama wa hela ya mboga na mamvi- mtangaza nia jana.
 
Ccm mnasimamisha wagombea wangapi mwaka huu kwenye nafasi ya urais?hii sasa ni fujo.
 
Sasa huu ni utani taslim,

Huyu aliyekifanya kiti cha Urais kuwa rahisi namna hii atalaaniwa vizazi vyote vijavyo....Khaaaaa yaani na kina Lukuvi kweli wanadiriki kuwa na mawazo ya kuwa Rais..!!!! Eeh, basi sawa..!!! Tunamsubiri Lusinde na Asumta Mshana nao watangaze tu maana hatuna namna.!!!

BACK TANGANYIKA
 
mh. Lukuvi leo hii ametia tia kuelekea safari ya uhakika kwa nafasi ambayo ni size yake na anayoweza kuimudu akiwa huko kigamboni leo hii,
mh. Lukuvi alitia nia wakati akiwa awahutubia wanakigaboni katika mkutano wa hadhara uliofanyika huko kigamboni leo hii na kuhudhuriwa na mamia ya wanakigamboni, hakika mkutano huo ulifana kwa wanachi kupata kile walichokipigania kwa muda wa takribani miaka saba juu ya hatima yao kuhusu mradi wa mji mpya wa kigamboni

View attachment 256065
View attachment 256066

Ametia nia gani? Ya kugombea uprezidaa? Atakuwa ni mtu wa 32 kupitia ccm kuutaka uprezidaa
 
Huyu Lukuvi anagombea Kigamboni? Au anautaka Urais?

Anagombea UBUNGE wa Kigamboni maana kwao huko Isimani, Iringa, Sosopi na ABWAO wamemtoa baru.......
...alizoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi....
........ anaona akipigwa dafrao Kigamboni atakuwa na la kujitetea...
 
Anhaaaa! So, anagombea UBUNGE huko Kigamboni? Safi sana. Nna habari kuwa huko kwao iringa HAKUBALIKI! Anahenya kuonesha namna ya kulipata Jimbola ismani alilolipata kwa HILA ya kumhonga mgombea wa upinzani akajitoa. Kwa miaka 5 sasa amekuwa hapati usingizi sababu ya CHIKU ABWAO. Aliamua kuikimbia Isimani ya upande wa magharibi. Habari nilizonazo toka iringa ni kuwa ameshawishi Jimbo hilo (ambalo si Wilaya kamili), ligawanywe ili Tarafa za Mashariki, ikiwemo Idodi ambapo ni kwao, ziunde Jombo kamili. Lakini na huko yuko ndugu Sosopi. Hapa anaona maji yako shingoni. So, kaamua kwenda Kigamboni? Mwaka huu titaona mengi.......walizoea vya kunyonga...vya kuchinja hawawezi...
Ushauri wangu kwa Lukuvi...awaage Wabunge wenzake kuwa hawataonana tena Oktoba

Duuu,kumbe chiku abwao ni kiboko ya lukuvi? Pamoja na mbwembwe zoote zile pale mjengoni?
 
Ccm mwaka huu watajilaumu ni kwanini bi kiroboto aliwaburuza wabunge wa upinzani wakati wa bunge maalum la katiba hadi wakajiona yatima na kuamua kuunda ukawa.
 
Anagombea UBUNGE wa Kigamboni maana kwao huko Isimani, Iringa, Sosopi na ABWAO wamemtoa baru.......
...alizoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi....
........ anaona akipigwa dafrao Kigamboni atakuwa na la kujitetea...

Sasa huko jimboni kwake alishindwa kufanya la maana ndo kigamboni. Ajipange na huko anaweza kukosa zamani wengi walizoea miteremko kwenye ubunge.
 
Sasa huu ni utani taslim,

Huyu aliyekifanya kiti cha Urais kuwa rahisi namna hii atalaaniwa vizazi vyote vijavyo....Khaaaaa yaani na kina Lukuvi kweli wanadiriki kuwa na mawazo ya kuwa Rais..!!!! Eeh, basi sawa..!!! Tunamsubiri Lusinde na Asumta Mshana nao watangaze tu maana hatuna namna.!!!

BACK TANGANYIKA

Wakati mwingine najiuliza wote hawa hata wale wasiyokuwa na sifa stahiki wanatangaza nia ya kutaka Urais wa kuongoza nchi au wanatangaza nia ya kutafuta URAHISI wa maisha. Mwl alisema ukimwona mtu anakimbilia Ikulu muogope kama ukoma, mwaka huu tutawaogopa wengi
 
Watu wanataka maisha ya kifalme.

Unafikiri wanataka majukumu ya kule?

Majukumu ya kawaida tu ya kikazi bila supervision kali watu ni wazembe, yatakua majukumu ya taifa lenye changamoto kama zetu?
 
Back
Top Bottom