Tanzaniaist
Senior Member
- Nov 29, 2011
- 161
- 156
Asalaam Alyekum wana JF..!
Leo jicho langu limemuulika Mh.Edward Lowassa,waziri mkuu mstaafu! Kiongozi Aliyejijengea Heshima ndani na nnje ya nchi...!
Vile vile bila kusahau Mh.Edward Lowassa ni mjasiriamali ambaye amewekeza kwenye sekta mbalimbali kama mawasiliano,utalii,hoteli ambako watanzania wameweza kufaidika kupitia ajira pamoja na kuongeza e pato la taifa kupitia kodi..!
Kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakimkumba mh.EL kama suala la kujiuva gamba pamoja na mbio za uraisi...,hapa nitafocus kwenye mbio za uraisi...
Napenda niseme kwamba mh.EL lazima atambue kwamba Binadamu mahali popote duniani ni wanafiki...siku zote binadamu atakupenda kwasababu ya PESA! Kumezuka kasumba ya watu kukusifia kwenye vyombo vya habari kama JAMII FORUM na kukutia moyo ugombee Uraisi..,lakini lazime uwapime hao wanaokufacilitate ugombee uraisi..,isije ikawa wanakufanya kama mtaji wa kukutoa pesa kila siku! kwani wengine wanakuona kama kiongozi wao hasa wapiga kura wako kule monduli na wengine wanakuona kama mtaji wa kupata pesa kwakuwa wanaamini kwamba wewe ni tajiri mkubwa ambaye uko tayari kutoa kiasi chochote kupata madaraka!
Nakuomba mheshimiwa kuwa makini na mitandao kwani hiyo hujenga na kubomoa! na hakuna watu wanafiki kama wanamitandao...,wengine wana dream uwe raisi wapate nafasi serikalini wengine wana dream uwe raisi wapate mianya ya kibiashara! lakini hebu tutolee mfano kama Mungu asingekubariki na Utajiri Uliokuwa nao ungekuwa kiongozi wa kawaida tu hivi wangapi wangekuwa wanakusifia kila siku kwenye JF au kwenye vyombo vya habari...,tuangalie hili suala kwa upande wa pili...!
Tumwangalie Nelson Mandela! yeye hakuwa tajiri au mfanyabiashara lakini watu walimpenda kutokana na uchungu wa kupigania haki za wananchi..,tumwangalie Mh.Mwai Kibako kwenye uchaguzi wa mwaka 2002 aliweza kummwaga Bilionea Uhuru kenyatta ambaye sasa hivi inasemakana ndio mtu tajiri afrika mashariki na kati...lakini nguvu ya umma ndio iliamua!
Tafakari Mheshimiwa! kwani nikiwa mtaani nasikia Lowassa na kitu kinachofuata ni neno Pata Pesa! be careful Mheshimwa