Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo kwenye ofisi ya Bunge zinaonesha alipomaliza darasa la saba alijiunga na ccm college-Ihemi. Huko sijui alisoma nini! Baadae inaonesha aligombea udiwani kawe kupitia cuf, pia zinaonesha alipotoka cuf alijiunga chadema na kurudi ccm. Ccm alipewa ukatibu wilaya ya tarime kabla ya kugombea ubunge jimbo la mtera akiwa ameshikwa mkono na mzee makamba kwenye kura za maoni.
 
Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008

hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge
 
Lusinde amejidhalilisha sn na chama chake, sidhani kama akili yake ipo sawa, yeye alidhani anawakomesha CDM kumbe anawaombea kura, USELESS LUSINDE SHAME ON YOU, you will always be a looser Non sense
 
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE


Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary
 
Huyu bwana sio kichaa wa kuzaliwa bali ni MJINGA/MPUMBAFU WA KUZALIWA. Namtabilia kukataliwa na wapiga kura wake!
 
Wabunge darasa la saba na form ndani ya CCM wako wengi sana....ni karibu ya nusu,eti hao ndio wanaotunga sheria na kuisimamia serikali wakati ni vilaza...


Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008

hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge
 
Miranda You must be joking. Hivi kweli hii ndio CV ya Lusinde. Tumekwisha WATZ!!!!!!
 
huyo kisha jimaliza ndo anaaga hivyo ubunge ole wenu ccm mumsimamishe lusinde 2015 ajiandae kurudi tarime
 
Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008

hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge
Sasa kwa kiwango hicho cha elimu kweli anaweza kuwa mwakilishi wa wananchi wa Mtera bungeni na kushiliki kikamilifu kutunga sheria zitakazoliongoza taifa hili? Si ajabu siku za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa ya zomea zomea toka kwa wanabunge wavivu wa kufikiri maana wengi wao wanapata shida kufanya uchambuzi yakinifu wa masuala muhimu ya kitaifa na utungaji wa sheria. Sasa mtu kama huyo utampatia muswada wa katiba mpya kweli auchambue na kutoa mapendekezo ambayo yataishi kwa zaidi ya miaka 100 wakati uwezo wake unaishia kufikiria namna kikao cha siku kitakapoisha na kupata posho yake. Ipo haja kweli kwenye katiba mpya watanzania kuangalia pamoja na uwezo wa kisiasa wa wagombea na uzalendo wao basi elimu kuanzia shahada ya kwanza iwe kigezo muhimu kwa wagombea wa nafasi ya ubunge na urais ili kupata watu makini watakaotuongoza kweli na sio kutuvuruga kama kina Kibajaj.
 
tehetehe kilaza kweli huyu jamaa kwanza nani alimpokea alipokuja pipoz powa hiyo 1995? asije akatuchafulia file letu huyo
 
Kuna mtu anayemfahamu Kwa ukaribu aliniambia huyu jamaa alikuwa Fundi viatu!
Acha masihala bwana, ni ya kweli hayo? kuna mahali nilisoma wengine wanadai alikuwa Houseboy wa John Komba. Hizi kashfa zote amezichokonoa mwenyewe sasa zinamgharimu maana watu sasa wanashauku ya kufahamu wandani wake.
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo kwenye ofisi ya Bunge zinaonesha alipomaliza darasa la saba alijiunga na ccm college-Ihemi. Huko sijui alisoma nini! Baadae inaonesha aligombea udiwani kawe kupitia cuf, pia zinaonesha alipotoka cuf alijiunga chadema na kurudi ccm. Ccm alipewa ukatibu wilaya ya tarime kabla ya kugombea ubunge jimbo la mtera akiwa ameshikwa mkono na mzee makamba kwenye kura za maoni.

Apo kwenye red itakuwa matusi/kutusi.
 
Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008

hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge

Ina maana huyu jamaha hata elimu ya sekondari hajapata?dah hii hatari sana aisee,kuna mtu mwenye picha yake wakuu aianike hapa?maana hata the way anavyo onekana sijui!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom